Tanzania biggest problem: CCMWakati sisi bado tunakimbizana na mashine za kukusanyia ushuru na zile za kupigia chabo sms za wananchi.. nchi ndogo kama mkoa wa kigoma itarusha satillite yake ya kwanza.
Kuna faida lukuki kwenye ulimwengu wa tech kuwa na satillite..
Rwanda to launch satellite this year
Sent using Jamii Forums mobile app
Unarusga satellite watu wanakufa njaa, wako uchi... The Africans!Wakati sisi bado tunakimbizana na mashine za kukusanyia ushuru na zile za kupigia chabo sms za wananchi.. nchi ndogo kama mkoa wa kigoma itarusha satillite yake ya kwanza.
Kuna faida lukuki kwenye ulimwengu wa tech kuwa na satillite..
Rwanda to launch satellite this year
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee umefikiria sanaUnarusga satellite watu wanakufa njaa, wako uchi... The Africans!
Unarusga satellite watu wanakufa njaa, wako uchi... The Africans!
Rwanda wapinzani wanaelewa maendeleo yanayoletwa na serikali na wanaiunga mkono. Sisi wapinzani wanapinga kila kitu (isipokuwa- mheshimiwa Sugu!). Kama wapinzani wangeshilikiana na serikali tungekuwa tumeisha fika mwezini.Rwanda wanazidi kwenda mbali,hivi sisi VP tuna hata mkakati ulioko jikoni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo huu mkubwa sana wa kuviua vyama vya siasa!Rwanda wanazidi kwenda mbali,hivi sisi VP tuna hata mkakati ulioko jikoni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tz tukirusha wapinzani watasema inamsaidiaje bibiyake alieyeko kujijini.Wakati sisi bado tunakimbizana na mashine za kukusanyia ushuru na zile za kupigia chabo sms za wananchi.. nchi ndogo kama mkoa wa kigoma itarusha satillite yake ya kwanza.
Kuna faida lukuki kwenye ulimwengu wa tech kuwa na satillite..
Rwanda to launch satellite this year
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati sisi bado tunakimbizana na mashine za kukusanyia ushuru na zile za kupigia chabo sms za wananchi.. nchi ndogo kama mkoa wa kigoma itarusha satillite yake ya kwanza.
Kuna faida lukuki kwenye ulimwengu wa tech kuwa na satillite..
Rwanda to launch satellite this year
Sent using Jamii Forums mobile app