VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,481
- 1,450
Baada ya dili la Uingeleza kugonga mwamba, serikali ya rwanda imekili kuwa ipo kwenye mazungumzo na serikali ya marekani, kupokea wahamiaji haramu,wanaokimbilia nchini humo, kusaka riziki.
Ikumbukwe pia kwa sasa, USA na Rwanda, wanatarajia kusaini mikataba mbali mbali ya uwekezaji, baada ya kukubali maombi mbali mbali, kutoka kwa serikali hiyo ya Marekani
Ikumbukwe pia kwa sasa, USA na Rwanda, wanatarajia kusaini mikataba mbali mbali ya uwekezaji, baada ya kukubali maombi mbali mbali, kutoka kwa serikali hiyo ya Marekani