Rwanda: Kikundi kipya cha waasi chaweka wazi nia yake ya kupindua Serikali ya Paul Kagame

Ndugu yangu vita vya makaratasi na social network vibaya saana!! Nisaw na business plan unaweza kuichambua weee ila kipindi ukianza kuifanya hiyo biashara ndo utaona kuwa ningumu.
Mkuu @zittojunior vita sio kusoma chimp reports! Hili gazeti limekuwa opposite sana utawala wa Kagame na kaguta!
Siku hizi wezi wa Mali za wananchi tunawaita wapigania nchi?
Kwanza hizo attacks hakuna hata moja tunayoijua Sasa walivamiana msituni au kwenye mtaani kwa wananchi!!! Hizo zote zingekuwepo. Wananchi wangekuwa washakimbia!!
Ila jua kwamba
*if others make us their problem and choose to start a war with us, that is when we use judgment, determination and training to fight and finish it for them*
 
Mkuu labda nikuulize kagame kawafunga wapinzani wangapi jela?

Hao wapinzani hawana wafuasi ? Nafikir mizani ikiwa sawa walau kuna tulia sasa yule dada aligombea uraisi kagame na genge lake wakamjumuisha ktk genge la wakwepa kodi kishafilisiwa unafikir watu watamfurahia? Lazima makundi ya waasi yatazaliwa tu
hii ilinikera mpaka mimi " ambaye ni mtz". je Hali iko vipi kwa wananchi WA ndani""? kagame" amemuonea mnoo" yule dada aisee"" kwa upande mwingin kagame ni shetani
 
Thanks for calling, Ingawa bado sijajua logic ya kuniweka kwenye kundi hilo la waasi vs Kagame!, First and utmost naomba nikuelekeze ukasome kitabu cha ''The Art of war'' mwandishi akiwa ni Sun Tzu ili ujifunze kuhusu the science of strategy. I would like to see Kagame ousted but sijaona wa kufanya hiyo kazi kwa ukamilifu.
41esJ1nxn7L._SX331_BO1,204,203,200_.jpg
 
hahaaaa nimependa hiyo line yako ya mwisho
 
Back
Top Bottom