Rwanda is now a better place for investors than Italy

Udogo au ukubwa, has nothing to do with ones Development, you are right it depends Countries policy. Nakumbuka Enzi za JKT ule usemi wa KJ Kigogo Juu au Kubwa Jinga. Big can be full of rubbish. Rwanda has been a country for the past +500 years, it was bigger than the Rwanda you see today, in all those years there were no Tanzania or any other country in the region. You are such big due to Colonialism, other wise Rwanda would have been the biggest Kingdom in the region

few years ago, Rwanda was nothing but a part of a country named Rwanda-urundi, leo wewe unadai Rwanda ilikuwapo miaka 500 nyuma? umetisha.
 
Hawapigi kelele wanafanya vitu vyao.
Udogo wa Rwanda au ukubwa wa Tanzania, hakuna Mnyarwanda au Mtanzania ariyesababisha hilo sote tumejikuta tumekuwa "Menu on High Table badala ya kuwa kwenye High Table" as Mr. PK said recently, kwa taarifa yako tu Rwanda was there from 15th century and by 18th century under King Rwabugiri its boundaries covered the size many times that of Rwanda of today, north it had reached up to shores of Lake Albert, to the West, it went up to Boyoma Falls, ind it wsa Rwanda under one leadership. Where was Tanzania nope, no where, it was not existing there were some chiefs here and there who were busy selling their people to Arabs. So Ukubwa wa TZ na Udogo wa RW leo is just some other peoples plan for their benefits during the scramble for Africa, further more you were lucky to have Britain as ua protector while we ended up with the Belgians. What happened it is a sad story on Rwanda, With the background of their history, as the only people who had a single organized administration with the territory they had before colonization, they had to be squeezed to the Maximum thus the situation you are finding Rwanda now. So laugh or Cajole at the size of this country as you like we all had nothing to do with the sizes of our Nations, in Fact had there been no Colonization things could be different from what we all have now.[/QU

kesho usije ukageuka kudai mimi ndio "we" halafu wewe ndio "you", just saying, hamtabiriki nyinyi.
 
Angalieni msije mkawa mnatumia rasilimali za kazini vibaya kwa kupiga porojo jf, bora ukacheze hide n seek kuliko kuingia fb au jf kwa intnet ya kazini....utafilisi.
 
few years ago, Rwanda was nothing but a part of a country named Rwanda-urundi, leo wewe unadai Rwanda ilikuwapo miaka 500 nyuma? umetisha.

kwa hiyo untaka kujifanya haujuwi historia yenu? Rwanda na Burundi zilikuwa ni falme mbili tofauti, Rwanda-urundi ni jina lililoletwa na mabasha zenu wa kibelgiji na hiyo ilikuja baada ya kuimega Rwanda yetu kwani tuliwakabili wakoloni kisawasawa ndio ikabidi waingie kiujanjajanja, kila walipofikia wakawa wanasingizia eti bado wapo ndani ya Uganda,Tanzania au Zaire.
Alafu Kigeli iv Rwabugili aliyeongoza kuanzia 1853-1895 yeye ndio alikuwa balaa vilevile kumbuka hapo mbeleni hadi Lubumbashi ilikuwa chini ya Rwanda
 
Udogo au ukubwa, has nothing to do with ones Development, you are right it depends Countries policy. Nakumbuka Enzi za JKT ule usemi wa KJ Kigogo Juu au Kubwa Jinga. Big can be full of rubbish. Rwanda has been a country for the past +500 years, it was bigger than the Rwanda you see today, in all those years there were no Tanzania or any other country in the region. You are such big due to Colonialism, other wise Rwanda would have been the biggest Kingdom in the region
Mkuu Umslopagas you are absolutely right, most of us know these facts but we don't dare to bring it here! you know when you praise the resilience of a certain group of people, jMali worshipers like JokaKuu,Eliakeem, Kibao-Kata etc will immediately start comparing it with TPDF as if... it's about history folks... nothing but the history...Lol!
 
kwa hiyo untaka kujifanya haujuwi historia yenu? Rwanda na Burundi zilikuwa ni falme mbili tofauti, Rwanda-urundi ni jina lililoletwa na mabasha zenu wa kibelgiji na hiyo ilikuja baada ya kuimega Rwanda yetu kwani tuliwakabili wakoloni kisawasawa ndio ikabidi waingie kiujanjajanja, kila walipofikia wakawa wanasingizia eti bado wapo ndani ya Uganda,Tanzania au Zaire.
Alafu Kigeli iv Rwabugili aliyeongoza kuanzia 1853-1895 yeye ndio alikuwa balaa vilevile kumbuka hapo mbeleni hadi Lubumbashi ilikuwa chini ya Rwanda

ahaahahaah, ahahahaaha, kumbe mbelgiji alikuwa basha, i didn't know that.... tell me if i am wrong, mbelgiji alitawala since the 1916 huko wakati wa ufalme wa watutsi, wahutu walivyopindua watutsi 1958, hawakuwa chini ya mbelgiji, mbelgiji aliondoka na kuwaachia taifa huru. kati ya mtutsi na mhutu nani alikuwa anabahashiwa na mbelgiji? Just thinking....au umebadili mawazo na kunigeuza mtutsi?
cc: JustDoItNow.
 
Last edited by a moderator:

Taifa huru? Hebu acha kunipagawisha!!! Baada ya kuona ufalme wa Rwanda ni ngangali, wabelgiji waliona bora waingie ubia na ufalme wa Rwanda kusudi waweze kuwasaidia administration huko zaire kwenye manamba ya wabelgiji na huko kueshimiana ndio kulipopelekea wanyarwanda kutouzwa utumwani be it Tutsi, Hutu or Twa! Baada ya mfalme kuwakumbusha kurudi kwao ndio wakaanza kutrain ma vibaraka wao kama kina Mbonyumutwa kusudi hata wakiondoka waache wamesafisha njia, baada ya kuwashtukia mfalme Rudahigwa aliwapiga butwaa wazungu pale alipowaambia kama mnafikiri kuna wanaonipinga basi wacha tufanye uchaguzi, just imagine mtu kupendekeza uchaguzi miaka ile... anaemsuport kutumia "jani bichi" na anayempinga kutumia "jani kavu" maskini ya mungu alikuwa na imani na wanyarwanda wenzake bila kujuwa ya kwamba "mabasha wenu" washawaharibu kwa nyuma... Sana sana babu yako Mbonyumutwa.
Swali la haraka haraka, hivi kwa nini katika kila issue unapenda kuleta ukabila? Swala la ututsi limakujaje? Nani kakuambia kuwa mtutsi kunakufanya uwe clean? Kuna watutsi kibao mafala kama wewe mfano wa karibu ni kina Kayumba, Rudasingwa... Kuwa Mhutu au Mtutsi sio tatizo, tatizo ni ideology yako na nitakuandama mpaka ukabila ukutoke mchawi mkubwa wee...
 
enhee funguka baba....ila acha matusi
 
few years ago, Rwanda was nothing but a part of a country named Rwanda-urundi, leo wewe unadai Rwanda ilikuwapo miaka 500 nyuma? umetisha.

Are you Serious?? A country named Rwanda-Urundi ??? Kwa Upotoshaji wewe ni number one. Keep it up, however I know that you Know the truth, endelea kupotosha na kudanganya
 
ahaahahaah, ahahahaaha, kumbe mbelgiji alikuwa basha, i didn't know that.... tell me if i am wrong, mbelgiji alitawala since the 1916 huko wakati wa ufalme wa watutsi, wahutu walivyopindua watutsi 1958, hawakuwa chini ya mbelgiji, mbelgiji aliondoka na kuwaachia taifa huru. kati ya mtutsi na mhutu nani alikuwa anabahashiwa na mbelgiji? Just thinking....au umebadili mawazo na kunigeuza mtutsi?
cc: JustDoItNow.

Ahahahhha, huyu mzee wa sumu hajui lolote. Yeye anachojua ni kuwasifia watusi. Watusi historia yao ni kujipendekeza kwa wazungu na kupeleka unafiki ili wawachukie kabila jingine.
 
Are you Serious?? A country named Rwanda-Urundi ??? Kwa Upotoshaji wewe ni number one. Keep it up, however I know that you Know the truth, endelea kupotosha na kudanganya

Wewe unayejua mbona hujaeleza ukweli ulivyo?
 
Taifa huru? Hebu acha kunipagawisha!!! Baada ya kuona ufalme wa Rwanda ni ngangali, wabelgiji waliona bora waingie ubia na ufalme wa Rwanda kusudi waweze kuwasaidia administration huko zaire kwenye manamba ya wabelgiji na huko kueshimiana ndio kulipopelekea wanyarwanda kutouzwa utumwani be it Tutsi, Hutu or Twa! Baada ya mfalme kuwakumbusha kurudi kwao ndio wakaanza kutrain ma vibaraka wao kama kina Mbonyumutwa kusudi hata wakiondoka waache wamesafisha njia, baada ya kuwashtukia mfalme Rudahigwa aliwapiga butwaa wazungu pale alipowaambia kama mnafikiri kuna wanaonipinga basi wacha tufanye uchaguzi, just imagine mtu kupendekeza uchaguzi miaka ile... anaemsuport kutumia "jani bichi" na anayempinga kutumia "jani kavu" maskini ya mungu alikuwa na imani na wanyarwanda wenzake bila kujuwa ya kwamba "mabasha wenu" washawaharibu kwa nyuma... Sana sana babu yako Mbonyumutwa.
Swali la haraka haraka, hivi kwa nini katika kila issue unapenda kuleta ukabila? Swala la ututsi limakujaje? Nani kakuambia kuwa mtutsi kunakufanya uwe clean? Kuna watutsi kibao mafala kama wewe mfano wa karibu ni kina Kayumba, Rudasingwa... Kuwa Mhutu au Mtutsi sio tatizo, tatizo ni ideology yako na nitakuandama mpaka ukabila ukutoke mchawi mkubwa wee...

Ahahahahaha, mzee wa sumu, tema sumu tema sumu...
Watusi ni legelege sana. Hawana nguvu wasingeweza mikiki mikiki ya utumwa mzee wa sumu.
Leo unalaani ukabila, sasa kwanini huko rwanda mnabagua makabila? eti mnaogopa kusema mimi ni mtusi au mimi muhutu. Si kwasababu mna ukabila? sisi hapa bongo watu tunaulizana makabila yetu na kutaniana na kucheka. Nyie eti sasa hivi marufuku kusema kabila ila tu myarwanda. Hii dhambi mzee wa sumu inawatafuna sana. Mtakwisha tu.
 
Are you Serious?? A country named Rwanda-Urundi ??? Kwa Upotoshaji wewe ni number one. Keep it up, however I know that you Know the truth, endelea kupotosha na kudanganya

basi sawa tufanye hakukuwa na rwanda-urundi!
 
Angalieni msije mkawa mnatumia rasilimali za kazini vibaya kwa kupiga porojo jf, bora ukacheze hide n seek kuliko kuingia fb au jf kwa intnet ya kazini....utafilisi.

mkuu, ni wazo zuri, lakini hapo ni ishu ya muda. Kwamba garama za utumiaji ni bukwa? ehhehe, internet au umeme?
 
Back
Top Bottom