Rwanda is now a better place for investors than Italy

Rwanda is now a better place for investors than Italy

Hayo ndio tutabakia nayo hizo ni data za "doing business" ni "global" tutabakia bila hoja yenye mashiko ...wenzetu wanapeta....wako mbali by far kila sector trust me watu hawaendi Singapore kujifunza wanakwenda Kigali Uchumi, usafi, IT, tiba elimu bure laptop kwa kila mtoto tangu primary usalama na mwisho corruption zero percent tolerance.

Hayo maendeleo waambie hawa wanyarwanda tunaowafukuza kila siku warudi kwao ili wakayafaidi! Kwa nini wahamie maporini kwetu kiharamu? kwa nini walazimishe kuwa raia wa nchi ya hovyo kama Tanzania wakati kwao ulaya ndogo?

IOM aids Rwandan returnees from Tanzania - International Organization for Migration

https://24tanzania.com/more-returnees-received-as-tz-clamps-down-on-rwandans/

stop parroting Rwandan PR dunia imeshashitukia zamani kuwa ni uongo, bado wewe tu.
 
Mkuu, hawa jamaa wanachekesha tu. Yaani hawana point nyingine ni kuonyesha vibarabara ambavyo kwetu ni mkoa mmoja tu.
Siraha yao kwa mtu anayewapinga ni:-
1. We hutu!
2. We ni FDRL
3. We ni jenosaidi uliopo msituni.

Kwakweli naishukuru JF kuwaelewa vizuri. Nilikuwa nasikia tu juu juu.

Mkulu sisi haina haja ya kuonesha sijui Sam Nujoma, Kibaki road....... Mandera road......

Sisi tupige Tunduma Sumbawanga........ Arusha Singida....... Mbinga Songea Namtumbo mpaka Ntwara...Dodoma Mtera Iringa... Babati .... Kondoa Dodoma.... Tabora Sikonge mpaka Kaliua..... Kikwete Bridge.... Nk Nk.... Tuoneshe rural development na barabara za mikoa na si barabara za Posta au Sokoine au ....
 
Kila siku you drink and eat Rwandese topics,wabongo wa kweli hawana time hiyo na uko so negative na chuki za kifala towards Kagame and Tutsi people,just come out and say mimi ni muhutu hating Tutsi kama yule mwehu mwenzako jmali na cha ajabu hamzidi 10 humu na mnajifanya wabongo kuliko wenyewe...mna tabu sana washamba nyie
 
Good for them, though siyo kweli. taarifa hii imepikwa kwani haijitosherezi (Not good for consumption) nilitarajia author wa hii article aje na comparative data ya kuwekeza Rwanda vs Italy, kwa kuonyesha fursa zilizoko Rwanda against those in Italy. kwa mfano:-

1. SHERIA YA UWEKEZAJI

Ili uwekezaji uwe na tija, lazima sheria ya uwekezaji itoe room kwa mwekezaji awe wa kigeni (foreign investor) or mzawa kuwekeza kwa mafanikio ikiwa sambamba na uwepo wa rasilimali (Natural resources) za kutosha kumwezesha investor to invest with profit.

RWANDA INVESTMENT CODE OF 2005
:

sheria ya uwekezaji ya Rwanda haitoi fursa kwa mwekezaji ikiwa ni pamoja na masharti ya mtaji ili kuwa registered as an investor and to have certificate of incentive, an investor need to pay USD 250,000 while in TZ, a local investor required to pay 30,000 USD. sasa hapa ni nchi gani ambayo ni nzuri kuwekeza?

Wazee, mnajikweza sana....!!

busy hating na analysis zako za darasa la pili...umeishiwa wewe.
 
busy hating na analysis zako za darasa la pili...umeishiwa wewe.

The good thing ni kwamba dawa inawaingia vizuri...Lakini pia nionyeshe hating analysis yangu iko wapi? kutofautiana kwako ni hating? mkuu, jichunguze kama uko sawa..
 
The good thing ni kwamba dawa inawaingia vizuri...Lakini pia nionyeshe hating analysis yangu iko wapi? kutofautiana kwako ni hating? mkuu, jichunguze kama uko sawa..

dawa my azz...Kigali is moving ahead for better haisikilizi wajinga au wendawazimu kina jmali waliochanganyikiwa,ila kama wewe ni Prof wa ukweli unakaribishwa Kigali utalipwa vizuri bila longolongo wala majungu ila membership yako ya FDLR iache border
 
jMali

Yote 9!! But given given a chance and resources; I would still invest elsewhere Italy included BUT not Rwanda, alas!! Give me a break; who wants to live in a police state led by that erratic; psycho; génocidaire, executioner extraordinaire PK??!! Kuwekeza mahali kunahitaji zaidi ya miundo mbinu na sera rafiki za uwekezaji; unahitaji utulivu wa kisiasa na imani kuhusu usalama Wa maisha na mali yako, freedom of speech and association, na taasisi za utawala endelevu, sio Cultism Kama ya PK! Rwanda hivi havipo! Rwanda Is a vicious dictatorship, seemingly functioning thanks to fear, répression and subjugation of the population; Rwanda Is sliding systematically towards Génocide II, ya kwanza ilikuwa "cha mtoto"!!. After Kagamé Cult, Rwanda Will ne no more!
 
Last edited by a moderator:
dawa my azz...Kigali is moving ahead for better haisikilizi wajinga au wendawazimu kina jmali waliochanganyikiwa,ila kama wewe ni Prof wa ukweli unakaribishwa Kigali utalipwa vizuri bila longolongo wala majungu ila membership yako ya FDLR iache border
Foreign Direct Investment (FDI) ... 2013 Word Bank Data
1. Tanzania 1.8 bn$
2. Uganda 1.1bn$
3. Kenya 504m$
4. Rwanda 110$
5. Burundi 7m$

CoW ukijumlisha wote bado hamuipati bongo. Kusema kwamba ni rahisi ku-invest Rwanda ni sawa na kusema machangu wa Corner bar au ambianse ni easy ... buku tano unapata kila utakacho mpaka asubuhi. Wakati machangu wa Vegas ni gharama ila wana-make money.

GET OUTTA HERE WITH YOUR CRAPY PR!!! ... HAMTUWEZI!
 
dawa my azz...Kigali is moving ahead for better haisikilizi wajinga au wendawazimu kina jmali waliochanganyikiwa,ila kama wewe ni Prof wa ukweli unakaribishwa Kigali utalipwa vizuri bila longolongo wala majungu ila membership yako ya FDLR iache border

I see, kama kigali is moving ahead, it is good for them... That's what i can say. Ila mkuu, sina membership yoyote na FDLR. nasimamia haki na sina interest kwa upande wowote. what I am interest is to see justice done and delivered to the innocent party. kwa kuwa FDLR wamenyimwa Haki ya Kusikilizwa na serikali ya Kigali, hivyo basi nitakuwa upande wao no matter what it takes....

Hata hivyo mkuu, Rwanda naijua vizuri kuliko hata unavyoijua. nimekuwa huko almost 20 years. hakuna nisilolijua kuhusu Rwanda. na hapa Tz, nawafahamu wenzako karibia asilimia 96 waliotapakaa katika mikoa yote ya Tanzania. Kuhusu serikali ya kigali kunilipa (ajira) hilo wala haliwezekani kabisa. kwani hata Kagame anachonizidi ni u-President (amiri jeshi mkuu) Lakini vingine vyote hanizidi (Including wealth)
 
Kila siku you drink and eat Rwandese topics,wabongo wa kweli hawana time hiyo na uko so negative na chuki za kifala towards Kagame and Tutsi people,just come out and say mimi ni muhutu hating Tutsi kama yule mwehu mwenzako jmali na cha ajabu hamzidi 10 humu na mnajifanya wabongo kuliko wenyewe...mna tabu sana washamba nyie

I usually dont have time to discuss with gays..... am taking them not serious...... coz they are less human than those straight.....

So please I remind you again (coz several years back I barred you from commenting to any of my utterance)..... dont share any discussion with me.....
 
Rwanda nchi ndogo kama wilaya ya momba halafu wanapiga kelele.
 
Rwanda nchi ndogo kama wilaya ya momba halafu wanapiga kelele.

Nchi ndogo lakini wanawapa tabu sana nyie, yaani hamlali bila kuitaja, hata mmesahau ya kwenu, imekua rahisi sana kufuta scandals kama za Escrow kutoka vichwa vyenu, mradi tu mtu akitaja Rwanda mnasahau mengine yote.
 
Facts

Rwanda.

1. Population 13,500,000

2. Area 26,338 sq km.

Morogoro region

1. Population 2,500,000

2. Area 27,258 sq km

Pwani region

1. Population 1,100,000

2. Area 32,547 sq km

Mbeya region

1. Population 2,800,000

2. Area 62,420

Nimejaribu kukuonyesha Rwanda ni kinchi kidogo sana kilichozidiwa na msongamano wa watu kiasi kwamba bila msaada wa nchi kama Congo au Tanzania kufikia mwaka 2030 Rwanda itakuwa haina nafasi ya hata ya kutema mate ukitema mate bila kutoa taadhari basi lazima utakuwa umemtemea mate jirani yako.

Rwanda nchi ndogo kama wilaya ya momba halafu wanapiga kelele.

Tanzania na ukubwa wetu tutaimbia nini uholanzi kimaendeleo ambayo ni sawa na mkoa mmoja tu wa kagera, point zingine mnatuaibisha bana!
 
Naona umedandia treli kwa mbele hujui usemalo mifano ya Uholanzi na Rwanda wapi na wapi ?.

Mosi hivi unajua Uholanzi kama taifa wameanzia wapi ?

Pili Tanzania ina miaka mingapi tangu uhuru ?

Tatu Rwanda ni nchi ndogo sana kuiweka ligi moja na Tanzania.Chukua barabara toka Dar hadi Arusha uitandike Rwanda bila shaka utakuwa umemaliza Rwanda yote lakini kwa upande wa Tanzania hicho ni kipande kiduchu sana wala hakijagusa au kutatua tatizo la barabara.

Mwisho hivi unajua Kagame na genge lake la mauaji wameshiriki kua maelfu ya watu katika ardhi ya Congo,Hivi unajua idadi kubwa ya watoto wa kinyarwanda wanakwenda na kurudi kila siku kupata masomo yao Congo.Taifa gani linalojivunia maendeleo wakati hata kusomesha watoto linashindwa.Usibabaishwe na hizi barabara za Kigali hazina urefu wa kilometa 20 toka nje ya hapo Kigali ujionee umasikini.

Tanzania na ukubwa wetu tutaimbia nini uholanzi kimaendeleo ambayo ni sawa na mkoa mmoja tu wa kagera, point zingine mnatuaibisha bana!
 
Very good for Rwanda, maybe there need to be more emphasize on foreign direct investment.
 
Nchi ndogo lakini wanawapa tabu sana nyie, yaani hamlali bila kuitaja, hata mmesahau ya kwenu, imekua rahisi sana kufuta scandals kama za Escrow kutoka vichwa vyenu, mradi tu mtu akitaja Rwanda mnasahau mengine yote.

nyie watutsi ndio hamuishi kuitaja Rwanda yenu hapa kwa propaganda za uongo, mkiumbuliwa ndio mnageuza kuw sisi tuna obsession na nyie, wewe na genge lako pitisheni mwezi bila kuleta propaganda za kagame uone kama kuna mtu ana time na nyinyi.
 
Nyie interharamwe mkitaja hamna shida maana ilikua nchi yenu, naongea kuhusu Wabongo ambao nyie mmewafanya hadi wamesahau yanayotendeka kwao.
 
Nyie interharamwe mkitaja hamna shida maana ilikua nchi yenu, naongea kuhusu Wabongo ambao nyie mmewafanya hadi wamesahau yanayotendeka kwao.

wewe inyenzi unajua fika kuwa bongo kuna makabila 120 na haiwezekani kwa kabila moja la interahamwe tena wakimbizi ku-influence makabila yote yaliyobaki.
 
wewe inyenzi unajua fika kuwa bongo kuna makabila 120 na haiwezekani kwa kabila moja la interahamwe tena wakimbizi ku-influence makabila yote yaliyobaki.

Lakini sio makabila yote 120 yako humu JF, wachache waliomo humu ndio wewe na yule mama JustDoItNow mmefaulu ku-brand, ila sana wewe maana huwa unaonekana kama una budget pembeni ya hii shughuli. Yule mama huwa parrot hata asilimia 90% ya anachosema haieleweki.

Wabongo wa kawaida wengi nimepiga beer nao huwa hata hawana hata shughuli.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom