Hivi viongozi hawa wa kiCCM wanajua wanachokifanya au ni wao na kukumbatia ufisadi na kuikausha nchi kwa kujazana ikulu wakijaza matumbo yao ,hebu angalia hawa waKigali na matumaini yao ambayo utayapenda na kuwaonea wivu pengine ikazidi kukufanya uichukie miccm na ccm yao. Miccm ni kujisifu tu tuna mbuga,tuna bahari,tuna maziwa,tuna gesi ,tuna mafuta kama haitoshi tuna Uranium ,yule waziri aliesema Uranium itakuwa tayari 2011 yupo wapi leo tunaelekea 2015 ,Warwanda hao wanaitangazia dunia kule wanakoelekea, Miccm mnatuchelewesha ,ondokeni tushawachoka.
Kigali sio Rwanda.Jiji la kigali linakula sehemu kubwa mno ya bajeti ya Serikali kuliko miji mingine ya Rwanda.Miji mingine iko hoi.Kila siku serikali inaongelea kupaka poda na hina jiji la kigali. Masterplan za miji mingine ya Rwanda ziko wapi?
Kigali inajifanya ndio Rwanda Washamba wengi hasa kutoka Tanzania wakitembelea Kigali wakirudi Utasikia Rwanda kuzuri hivi ajabu Tanzania bure kabisa! Niwaulize swali Kigali ndio Rwanda? Unaijua miji mingine ilivyo hovyo Rwanda?
Mkuu hata kama ni Kigali pekee, huo ni mwanzo wa kutengeneza na kwingine kuwa kuzuri. Si bora wao wamenza na mji mmoja, je ninyi wabongo kuna hata mji mmoja mmeutengeneza ukawa mfano wa kuigwa?
Kigali sio Rwanda.Jiji la kigali linakula sehemu kubwa mno ya bajeti ya Serikali kuliko miji mingine ya Rwanda.Miji mingine iko hoi.Kila siku serikali inaongelea kupaka poda na hina jiji la kigali. Masterplan za miji mingine ya Rwanda ziko wapi?
Kigali inajifanya ndio Rwanda Washamba wengi hasa kutoka Tanzania wakitembelea Kigali wakirudi Utasikia Rwanda kuzuri hivi ajabu Tanzania bure kabisa! Niwaulize swali Kigali ndio Rwanda? Unaijua miji mingine ilivyo hovyo Rwanda?
Weye msemaji wa CCM nini?
Hata nyinyi mmeshaanza,ila umesahau mlianza lini ,mikakati isiyotekelezeka ,na tumeshayasikia mengi sana ya kutoka kwenye vinywa vyenu vinavyonuka maneno ya ulaghai. Miccm na CCM yao ni jumba ya maneno ,nimeangalia hiyo Kigamboni ila haifikii hata siku moja MasterPlan ya Kigali ,ile masterplan ukiiangalia tu basi unatulia na kuona matumaini.Hata sisi tumeshaanza.Angalia miaka ya mbele kigamboni Tanzania itakavyokuwa
https://www.youtube.com/watch?v=Oy1Usi8DrC8
Mleta mada,
Ni dhahiri wewe sio Mtanzania. Kama ungekuwa Mtanzania, basi usingeandika huu upuuzi wako.
Njia pekee ya kuitoa CCM ni kupitia uchaguzi. Kwa sasa tunaelekea kwenye uchaguzi, sasa kwanini usisubiri huo uchaguzi ili uikatae hiyo CCM!?
Hata nyinyi mmeshaanza,ila umesahau mlianza lini ,mikakati isiyotekelezeka ,na tumeshayasikia mengi sana ya kutoka kwenye vinywa vyenu vinavyonuka maneno ya ulaghai. Miccm na CCM yao ni jumba ya maneno ,nimeangalia hiyo Kigamboni ila haifikii hata siku moja MasterPlan ya Kigali ,ile masterplan ukiiangalia tu basi unatulia na kuona matumaini.
Tz tulitakiwa iwe tushavuka huko ,nchi zinaendesha uchumi kwa kutegemea Zoo ,hapa tuna mbuga lukuki kinachofanywa ni kuzitekeza kwa kuuza mazao yake na kuwaiwa wanyama ,eti na sisi tuna Kigamboni !