Rwanda inaongoza kwa utumiaji wa ngano

Rwanda inaongoza kwa utumiaji wa ngano

Rwanda ni sawa na wilaya ya kilolo, halafu utuambie wanatumia ngano zaidi east Africa, huu ni uchuro, labda mngesema wanakula tambi zaidi, maana neno ngano ni pana sana
Wmaeshachoka walimtukana rais kikwete kupitia twita baadae ka Kagame kakaanza kujikomba eti kushirikiana kwa bandari. Wanafiki kweli. Kuleni tambi sasa. Wakitaka waje tuwagawie! Bora umewaambia ukweli!
 
chakula kinanunuliwa na UN ili wakalishwe wakimbizi wa Burundi.
 
Back
Top Bottom