Rwanda inaongoza kwa utumiaji wa ngano

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,376
50,767
Rwanda has become the largest consumer of wheat in East Africa.

The government, together with the World Bank, is to fund the sector with the aim of putting more land under wheat cultivation.

Permanent Secretary in the Ministry of Trade and Industries Eammanuel Hategeka said the Rwanda Agriculture Board (RAB) has been distributing new hybrid seeds to farmers — a project started in 2012. The project seeks to ensure that milling companies bake with locally produced wheat.

Mr Hategeka said millers are importing most of the wheat they use from Argentina, Australia, Canada, and Russia.

“The millers import 90 per cent of the wheat processed for making bread,” said the minister.

However, Kenya and Tanzania — East Africa’s biggest producers of wheat — are looking to cash in on the demand in Rwanda.

Rwanda received over 8,500 tonnes of exported wheat from Tanzania and Kenya between October 26 last year and January 26 this year, about two months since the harvest commenced in both countries.

With a growing population and the establishment of more milling companies, the Rwanda Development Board forecasts that the demand for wheat will grow to 186,261 tonnes next year. In total, the country imports 123,0000 tonnes of wheat annually.

The government is currently looking to put 55,000 hectares of land under wheat and by October last year it had cultivated 43,000 hectares.

In 2014, the World Bank gave Rwanda and Burundi a $300,000 grant to help in efforts to scale up wheat production. The money was to partly be spent on input subsidies.
Rwanda now largest consumer of wheat in region
 
Hawa jamaa na viji-promo vyao vya kijingajinga hawajambo! Eti the largest consumer of wheat in EA wakati kanchi kenyewe kama wilaya ya Ushirombo.
Labda mashamba ya mpunga hawana. Bongo tunakula vyote kwa sababu tuna ardhi kubwa ya kilimo.
 
lol... now I understand why "life expectancy" rises dudus Konda wa bodaboda mi nafikiri hii habari inamaanisha ya kwamba maisha ya wanyarwanda yamepanda, ukiona watu wanatumia ngano sana basi ujuwe maisha mazuri! milo mitatu, breakfast, lunch na supper! hauwezi ukaagiza ngano kiasi hiki wakati watu wako wanaamkia kupasha viporo... thanks MK254 for the news
 
Kwa bongo chakula cha ngano hasa tambi kinatumika sana kwa watu wenye kipato cha chini ndio maana unga wa ngano na tambi vinapatikana kwa bei rahisi kuliko mchele, mihogo na viazi. Kwahiyo hilo la kupanda kwa maisha ya wanyarwanda hadi kufikia kuona tambi ndio chakula cha kitajiri kwao ni kwa huko kwao kwa sababu hawana uwezo wa kupata vyakula vingine kwa sababu wakulima hawana ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha mazao mchanganyiko.
 
Sasa kama nyie matajiri wenye lishe bora, mbona hao Rwanda wamewashinda nyie kwenye life expectancy, kwa mujibu wa WHO.
 
Mnakimbilia takwimu za who? Hah! Kumbuka tuna watu 50mil. Kwa wastani hata mchinjane vipi life expectancy itaonekana mko juu! Tanzania amani bwana kila kabila hula chakula kulingana na utamaduni na aina ya chakula kinacho limwa mahali pale! Rwanda hata mhogo ambao ni asili hawawezi tena kulima. Uhaba wa ardhi na ndo moja ya sababu za chuki zao!
 
Acha wale tambi.
 
Sasa kama nyie matajiri wenye lishe bora, mbona hao Rwanda wamewashinda nyie kwenye life expectancy, kwa mujibu wa WHO.
Wako kwenye makambi ya wakimbizi ndani ya Tanzania tukiwalisha ugali na wali wetu ndio maana WHO imeona wako vizuri kiafya. Tanzania ni habari nyingine. Ukilala njaa umependa mwenyewe.
 
Kwa bongo chakula cha ngano hasa tambi kinatumika sana kwa watu wenye kipato cha chini ndio maana unga wa ngano na tambi vinapatikana kwa bei rahisi kuliko mchele, mihogo na viazi. Kwahiyo hilo la kupanda kwa maisha ya wanyarwanda hadi kufikia kuona tambi ndio chakula cha kitajiri kwao ni kwa huko kwao kwa sababu hawana uwezo wa kupata vyakula vingine kwa sababu wakulima hawana ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha mazao mchanganyiko.
Hahahaha....duh...haya mkuu.
 
Wajinga kweli duniani wengi. yaani hawa wanaona ni sifa kuongoza kula imported food!! Wanaona fahari kuacha kula viazi vitamu ambavyo ndio chakula chao cha asili!
 
Tatizo ni ardhi ya kilimo mkuu. Nchi yao haina ardhi ya kilimo cha kuwatosha ndio maana wanakula tambi.
 
Rwanda ni sawa na wilaya ya kilolo, halafu utuambie wanatumia ngano zaidi east Africa, huu ni uchuro, labda mngesema wanakula tambi zaidi, maana neno ngano ni pana sana
 
Back
Top Bottom