Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 309
kagame angekuwa na akili (maana hana) angekaa na wanyaruanda wenzake wakajadili na kuyamaliza matatizo yote yanayowakabili kwa masilahi yao na wajukuu zao.
Kufuatia malalamiko ya Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda nimejaribu kufuatilia habari zinazoandikwa kwenye gazeti la serikali ya Rwanda la News of Rwanda.
Nimesikitishwa na tone iliyomo kwenye makala zilizo nyingi kwenye gazeti hili, nyingi ni za propaganda ambayo inachochea mgawanyiko zaidi kati ya makabila makuu ya Rwanda (Wa-Tutsi na Wa-Hutu).
Miongoni mwa kauli za kichochezi kama hizi hapa chini
"When you choose to be a dog, you die like a dog, and the cleaners will wipe away the trash so that it does not stink for them. Actually, such consequences are faced by those who have chosen such a path. There is nothing we can do about it, and we should not be interrogated over it." - Gen Kabarebe (Waziri wa Ulinzi)
"Kibeho was the site of the mass murder of students from Marie Merci high school. And thousands of Tutsis were killed at the local Catholic Church where they had sought sanctuary." - Gazeti la News of Rwanda kwenye makala kuhusu mwenge Kwibuka Flame reaches Nyaruguru district in its countrywide tour News Of Rwanda – Rwanda News
Ukisoma kwa makini utaona kuna kitu ambacho siyo sawa mfano mtu ambaye naamini ana wafuasi kumuita mbwa wakati na kumkejeri kwa namna alivyofanya waziri ni jambo la hatari, vilevile kuendeleza machapisho yanayosisitiza mgawanyo kama kwenye hiyo makala kuwa wa-Tutsi ndio pekee waliuwawa nadhani kwamba wa-Hutu ambao ndugu zao waliuwawa kwenye vurugu hizi wanajisikia kuwa siyo sehemu ya sherehe za kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya 1994...
Nadhani mauaji ya Kimbari yalichangiwa na pande zote na kwa ushauri wangu nadhani kitu kinachotakiwa kuwepo ni kusisitiza katika utaifa badala ya ukabila mfano badala ya kusema maelfu ya Wa-Tutsi waliuwawa mhariri angeandika maelfu ya Wa-Nyarwanda waliuwawa, n.k
Haya ni maoni yangu tu na kama kuna mtu hayapendi basi anipinge kwa hoja siyo kuwinda maisha yangu kama ambavyo tumesikia imekuwa ikitokea
msimsakame kagame issue za ndani kwake zinamhusu yeye,kusema kwamba ukiishi kama mbwa utakufa kama mbwa ni msemo tu.ila kama tz inakula sahani moja na watu waliohusika na mauhaji ya kimbali unategema nini atuchekee? au mnafikili interegensia ya Rwanda ni kama ya said mwema pole.lisemwalo lipo huo ni msemo tu lakini una maana sana kwanini tusidili na issue zetu tukaachana naye hao waasi walipokuja kuja tz unafikiri walipita mbinguni ?kwanini wasionekane achene ukapukuMimi sina uwezo wa kuwa MTUME au NABII, lakini sina shaka kadri siku zinavyo kwenda ndugu yetu Kagame hasipo jirekebisha na kubakia na ubabe wake na dharau zisiyo na mantiki hata kidogo, basi naweza kusema ategemee kupatwa masahibu yaliyo mkumba Kiongozi wa zamani wa Nigeria one BACHA. Watakao deal naye kikamirifu ni WATUTSI wenzake wanaoi juwa kwa karibu weakness yake hiko wapi, siyo Wahutu au WATWA.
Mimi sina uwezo wa kuwa MTUME au NABII, lakini sina shaka kadri siku zinavyo kwenda ndugu yetu Kagame hasipo jirekebisha na kubakia na ubabe wake na dharau zisiyo na mantiki hata kidogo, basi naweza kusema ategemee kupatwa masahibu yaliyo mkumba Kiongozi wa zamani wa Nigeria one BACHA. Watakao deal naye kikamirifu ni WATUTSI wenzake wanaoi juwa kwa karibu weakness yake hiko wapi, siyo Wahutu au WATWA.
msimsakame kagame issue za ndani kwake zinamhusu yeye,kusema kwamba ukiishi kama mbwa utakufa kama mbwa ni msemo tu.ila kama tz inakula sahani moja na watu waliohusika na mauhaji ya kimbali unategema nini atuchekee? au mnafikili interegensia ya Rwanda ni kama ya said mwema pole.lisemwalo lipo huo ni msemo tu lakini una maana sana kwanini tusidili na issue zetu tukaachana naye hao waasi walipokuja kuja tz unafikiri walipita mbinguni ?kwanini wasionekane achene ukapuku
Kwa kweli ni hatari na inasikitisha sana kusikia tone kwenye matamshi wa viongozi wa sasa wa Rwanda, wengi wanaongea kwa kejeri sana na kuwadharau mno wote wanaowapinga.... kwa mstakabali wa nchi kama Rwanda ambayo ina makabila makubwa mawili ni hatari sana, Sisi over Wao - na hii ndiyo ilizaa genocide.
Watanzania wigo wetu wa kufikiria ni mdogo sana. Unaihurumia Rwanda wakati kwako ndio kumeoza kuliko...Rwanda inasikitisha sana kwa jinsi inavyoendeshwa, ni wataalamu sana wa matusi na kejeli.
Pole yao.