''Rwanda Ilisaidia M23 kuteka Goma'' yasema UN

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,564
[h=1][/h]

121119201418_goma_airport_run_304x171_ap_nocredit.jpg

Uwanja wa ndege wa Goma utafunguliwa ili kuwafikishia chakula watu walioachwa bila makao

Ripoti ya Umoja wa mataifa iliyofichuliwa inasema wanajeshi kutoka Rwanda walihusika moja kwa moja na utekaji wa mji wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uliotekelezwa na waasi.
Ripoti hiyo iliyokusanywa kwa ajili ya baraza la usalama, inasema wanajeshi mia tano wa Rwanda, walihusika katika utekaji huo wa kundi la M23.
[h=2]Taarifa zinazohusiana[/h]

Msemaji mmoja wa jeshi la Rwanda ameiambia BBC kuwa tuhuma hizo ni za kuudhi na zisizo na msingi.
Wanajeshi wa Congo walirudi Goma hapo jana siku mbili baada ya waasi kuondoka kutoka mji huo wa Goma mwishoni mwa wiki baada ya mkataba wa amani uliofikiwa kwa usaidizi wa nchi za ukanda wa Maziwa Makuu.
Lakini waasi wameonya kuwa watauteka tena mji huo ikiwa serikali haitatimiza matakwa yao katika muda wa siku mbili.
Waasi hao waliondoka Goma siku kumi na moja baada ya kuuteka mji huo kutoka kwa wanajeshi wa DRC wakiungwa mkono na wanajeshi wa amani wa Umoja wa Mataifa
Mnamo Jumatatu mamia ya wanajeshi wa DRC waliwasili katika kambi zao mjini Goma baada ya waasi kuondoka kutoka mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini siku ya Jumamosi.
121018125618_m23_drc_304x171_afp_nocredit.jpg

Jean-Marie Runinga (Katikati) ni kiongozi wa kisiasa wa M23Uwanja wa ndege wa mji huo utafunguliwa Alhamisi ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingizwa huko kuwasaidia mamia ya watu walioachwa bila makao baada ya kutoroka mapigano.

Waasi hao walikubali kusonga umbali wa kilomita 20 kutoka Goma ikiwa serikali itatimiza matakwa yao ikiwemo kuwaachilia wafungwa wa kisiasa. Lakini duru zinseama kuwa wangali wako karibu sana na mji wenyewe kinyume na makubaliano walioafia.
Kuna hofu kuwa hatua yao isidumu ikiwa Rais Joseph Kabila atakataa kuanza mazungumzo nao kulingana na msemaji wa waasi hao kanali Vianney Kazarama.
 
Thanda

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,915
595
Bora wasikilizwe tu kwani huenda wana madai yao ya msingi.[QUOTE=R.B;5159090]

121119201418_goma_airport_run_304x171_ap_nocredit.jpg

Uwanja wa ndege wa Goma utafunguliwa ili kuwafikishia chakula watu walioachwa bila makao

Ripoti ya Umoja wa mataifa iliyofichuliwa inasema wanajeshi kutoka Rwanda walihusika moja kwa moja na utekaji wa mji wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uliotekelezwa na waasi.
Ripoti hiyo iliyokusanywa kwa ajili ya baraza la usalama, inasema wanajeshi mia tano wa Rwanda, walihusika katika utekaji huo wa kundi la M23.
Taarifa zinazohusianaMsemaji mmoja wa jeshi la Rwanda ameiambia BBC kuwa tuhuma hizo ni za kuudhi na zisizo na msingi.
Wanajeshi wa Congo walirudi Goma hapo jana siku mbili baada ya waasi kuondoka kutoka mji huo wa Goma mwishoni mwa wiki baada ya mkataba wa amani uliofikiwa kwa usaidizi wa nchi za ukanda wa Maziwa Makuu.
Lakini waasi wameonya kuwa watauteka tena mji huo ikiwa serikali haitatimiza matakwa yao katika muda wa siku mbili.
Waasi hao waliondoka Goma siku kumi na moja baada ya kuuteka mji huo kutoka kwa wanajeshi wa DRC wakiungwa mkono na wanajeshi wa amani wa Umoja wa Mataifa
Mnamo Jumatatu mamia ya wanajeshi wa DRC waliwasili katika kambi zao mjini Goma baada ya waasi kuondoka kutoka mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini siku ya Jumamosi.
121018125618_m23_drc_304x171_afp_nocredit.jpg

Jean-Marie Runinga (Katikati) ni kiongozi wa kisiasa wa M23Uwanja wa ndege wa mji huo utafunguliwa Alhamisi ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingizwa huko kuwasaidia mamia ya watu walioachwa bila makao baada ya kutoroka mapigano.

Waasi hao walikubali kusonga umbali wa kilomita 20 kutoka Goma ikiwa serikali itatimiza matakwa yao ikiwemo kuwaachilia wafungwa wa kisiasa. Lakini duru zinseama kuwa wangali wako karibu sana na mji wenyewe kinyume na makubaliano walioafia.
Kuna hofu kuwa hatua yao isidumu ikiwa Rais Joseph Kabila atakataa kuanza mazungumzo nao kulingana na msemaji wa waasi hao kanali Vianney Kazarama.[/QUOTE]
 
KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Aug 18, 2010
966
528
hivi hao askari wa serikali ni wanajeshi au ni polisi jamii? Maana kama wanaacha mji bila kupigana walijiunga na jeshi ili wafanye nini?
 
Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,872
8,686
Sasa naanza kupata picha kwanini Tanzania wanted to go in Congo. When it comes to security, sometimes you could easily behave as a witch craft...au kama mpiga ramli wa kigiriki ili usipatwe na dhahama.
 
  • Thanks
Reactions: R.B

Kitoabu

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,774
7,339
Mhh napata shaka na hilo jeshi la congo yani lili toka nduki na kuwaacha raia? Kwahiyo walitegemea raia asaidiwe na nani? Au nalao linaunga mkono harakati za hao m23? Kweli kuna haja ya jeshi letu kwenda kuchukua maujiko.
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,135
13,082
naona waathirika na wahanga ni wanawake na watoto, makamanda wanakula Per Diem tu kwenye miku5
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,135
13,082
Tz haikufanya upembuzi yakinifu
Sasa naanza kupata picha kwanini Tanzania wanted to go in Congo. When it comes to security, sometimes you could easily behave as a witch craft...au kama mpiga ramli wa kigiriki ili usipatwe na dhahama.
 
MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,095
Laana au dhambi ya kuuawa kwa Patrice Emery Lumumba itaitesa Congo milele na milele. Very sad
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom