Rwanda gets closer to having an AIDS-free generation

Rwanda gets closer to having an AIDS-free generation

Hapo umemweka sawa huyo, hawa ndugu zetu Kingereza kiliwakataa, na ndio maana unaona wengi hukurupuka kwa ubishi usio kuwa na mantiki kwenye mada kama hizi.
Hata usemeje, inaonesha maambukizi ya vvu ni makubwa nchini rwanda.
 
Haha ni balaa si umemskia Donald Trump alivyotupa makavu ,yaani watu weusi tuna laana ya kutafunana
Upande huo kwa kweli tumejaaliwa hata wazungu wanamaind sana wanawake wao wanavyowapenda blacks.. Ila sasa upstairs mweh
 
Upande huo kwa kweli tumejaaliwa hata wazungu wanamaind sana wanawake wao wanavyowapenda blacks.. Ila sasa upstairs mweh

Hahaha lazima wamind Mkuu bila Wa Afrika leo hii tusinge wasifu wabrazili au Waspain ,Wazungu wanao mind ni wale typical british kitu jeupe mpaka unaogopa
Upstairs tutaendelea tu kuwaabudu wazungu hamna namna tena
 
Wewe unadharilisha huyo jamaa kwenye avatar yako, mahali Einsten alipo, akisoma hizi kauli zako lazima atahisi aendelee kufa tu huko huko alipo.

Jifunze kwanza kiswahili vizuri.
kisha onyesha Mahusiano yoyote yaliopo kati ya Hiyo comment na Albert

Mwisho,Msipende sifa za kijinga Hamtofika kokote
USA Mpaka leo haija achieve AIDS-Free generation sembuse Rwanda,nchi ambayo haina uhakika wa Amani ya kudumu kwa 100%
 
USA Mpaka leo haija achieve AIDS-Free generation sembuse Rwanda

Nani kakudanganya USA kaongoza takwimu zote?

Soma taarifa uelewe fasihi vizuri.Wamesema 95% ya wanawake wanaojifungua hospitalini ni HIV free. Kwa nini basi uwakatae azma ya kufika 100%. Labda utuambie takwimu za bongo.
 
Mkuu...unajibizana na Einstein mwenyewe. The genius. Go figure.
 
Kipindupindu Hakizuiliwi kwa kufanya usafi Barabarani tu.
Kitu Ambacho wewe Hukielewi ni kwamba,watu sio Fixed kama Miti,Bali wanamigrate kila siku

Mtu A ambaye ni HIV- anaweza kutoka rwanda na kwenda TZ,na akarudi akiwa HIV+.
Point yangu ni kwamba,hamuwezi kutengeneza HIV-Free generation kama Bado kuna Muingiliano wa watu.
Inawezekana kama watu tutaamua kufunga zipu na kutokuvua vyupi kiholela,ni mindset tu hapo.Kuna ulazima gani kuwa ukienda nchi fulani kwa shughuli yoyote ile ufanye hayo mambo?.Fanya kilichokupeleka ukimaliza rudi kwenu.
 
Jifunze kwanza kiswahili vizuri.
kisha onyesha Mahusiano yoyote yaliopo kati ya Hiyo comment na Albert

Mwisho,Msipende sifa za kijinga Hamtofika kokote
USA Mpaka leo haija achieve AIDS-Free generation sembuse Rwanda,nchi ambayo haina uhakika wa Amani ya kudumu kwa 100%
Hatupo kwenye darasa la lugha, na ingelikua kweli, basi ulichokiandika hapa kitamtia kichefuchefu mtaalam wa lugha. Maana una matatizo kwenye ufasaha, hujui jinsi ya kutumia herufi kubwa, alama ya kipumuo, kikomo n.k.

Bora urudi shuleni.
 
Nani kakudanganya USA kaongoza takwimu zote?

Soma taarifa uelewe fasihi vizuri.Wamesema 95% ya wanawake wanaojifungua hospitalini ni HIV free. Kwa nini basi uwakatae azma ya kufika 100%. Labda utuambie takwimu za bongo.
 
Nani kakudanganya USA kaongoza takwimu zote?

Soma taarifa uelewe fasihi vizuri.Wamesema 95% ya wanawake wanaojifungua hospitalini ni HIV free. Kwa nini basi uwakatae azma ya kufika 100%. Labda utuambie takwimu za bongo.

Listen Quickly
Execution of AIDS-free Generation involve two main step;
First of all,you must ensure that,No child,any-where,will be born with HIV-virus

secondly,As those children Become adults,they will be at significantly lower risk of Becoming infected no matter where they living
According to the thread,In 2014 In Rwanda,more than 95% Of pregnant women living with HIV had access to ARV to prevent transmission of HIV from mother to child
It seems that,from statement above,Rwanda has already executed the first step but not second

The problem with second step is that,you can't achieve it without HIV- vaccine
Untill now,HIV's vaccine isn't available not only in Africa but also in so called First-world-countries.
 
Back
Top Bottom