Rwanda: Former RDF boss Rusagara arrested over 'link' to exiled opposition

Nyie ni wauaji, mbona hau comment kwenye hizo picha unazowekewa.. au inakutonesha kidonda?

Wewe mueleze wahutu wamemua nani, wewe umeelezwa kuwa watutsi walimuua Habyarimana na Ntaryamira kisha wakaanza kuuua wahutu waliokuwa Rwanda na wakaendelea kuua wahutu waliokimbilia Congo na sasa wakaendeleza propaganda ( nawewe unaendeleza) kuwa wahutu ndio wauaji lakini huwezi kuomesha wamemuua nani. Kwa hiyo wewe( nyie watutsi) ndio wauaji. Nasasa baada ya kuua wahutu mulioona kuwa ni hatari kwenu munaanza kuuana ninyi kwa ninyi( mumesha muua muuaji wenu- Karegeya) na bado my awawinda wote waliokimbia kama kayumba.
 
Lol....interahamwe pure,hata Kiswahili hujui then unakuja humu unajifanya mbongo you bastard.
 
Lol....interahamwe pure,hata Kiswahili hujui then unakuja humu unajifanya mbongo you bastard.
Kwa kuwa hata mridhani hawatasema wamesema( BBC) , sasa mtatukana kila aina ya matusi. Kumbuka Robert Nesta Marley alisema" you can fool some people some times but you can't fool all the people all the times". Kama PK amemuua mtu namba one aliyemtumia kuua wahutu( Karegeya) hata wewe koba na Murutongore atawaua siku atakapo dhani mumetumia vibaya keyboards za JF. Kumbuka ameua walinzi wake wangapi!!
 

Du mkulu unafikiria mbali sana. Rwanda INA Taasisi/mfumo imara au MTU/kiongozi imara.
 

Naona wewe ndio bingwa wa kubadili historia, hata historia ya humu humu JF unaipotosha:

HISTORIA YA JF: MTIRIRIKO MZIMA:
1 .
Watutsi ni ndugu zetu, tupunguze kuwachukia.
2
na wahutu je?
3 .
Nyie ni wauaji, mbona hau comment kwenye hizo picha unazowekewa.. au inakutonesha kidonda?
4 .
tufanye mimi mhutu, are you saying more than 80% of Rwandese are killers then?

jawabu la 5 ndilo hilo hapo juu! So 80% of Rwandese (i.e the Hutus) are killers, ila wanaishi comfortably in Rwanda kwa hisani ya kagame sio?
 

1. Alipoanza alisema ikifika 2017 ataachia madaraka kwa mujibu wa katiba kwa vile Rwanda is not like any other typical African country, sasa hivi anasema "its not up to me but "the people" to decide"! Hapo unahitaji kuwa fortune teller kujua kitatokea nini?

2. i don't get the point of those photos of "my relatives" swali lilikuwa HOW MIGHTY ARE THE INTERAHAMWES? Iweje watu wanaodaiwa kuwa na mapanga tu wamudu kuwithstand vita na RPF in Rwanda in 1994, withstand RDF in 1998-2000, kumbuka RDF walipigana na Uganda within DRC na wachambuzi wote wanakubali kuwa RDF ilishinda, sasa iweje mpaka leo bado "Interahamwe" wapo DRC? RDF walishindwa vipi? Mbona M23 walipigwa mda mfupi tu?

3. Mtikila hajadai kuwa interahamwe wako tz, NI WEWE NDIE UNAYEDAI HILO! hivyo ni wewe ndie ujibu vinginevyo hoja yako imekufa.

4. Tayari kilichotolewa na BBC ni history tupu of what happened, what's your point?
 

Twisting my words again, hivi wajerumani wote walikuwa NAZI? Ukijibu hilo utakuwa umejijibu hapo juu.
 


1. Aki quit au akiamua kuendelea doesn't change anything. Mwendo utakuwa ni ule ule usidhani kuna kitakachobadilika. Mtaendelea kuwindwa mpaka nyote msweke ndani kwa dhambi ya mauaji.

2. Might enough as the pictures depict and if it was up to us, they would not have been in the news anymore. Anyways, kama nilivyokuambia you guys played into our hands so be prepared to face the forces of Tanzania. Isn't it ironic that those who plead for your case all over the world ndio wamepewa rungu ya kuwamaliza! Sasa tuone kama watawashughulikia na wakikataa then we will know whose side they are on. Sorry we already know whose side they are on.

3. Do i have to put the UN report kuhusu hilo au you are just trying to prolong this ili uonekane tu kuwa una uwezo wa kujibizana.

4. You know what i mean by history otherwise you will have proven to me that you are a dimwi
 
Twisting my words again, hivi wajerumani wote walikuwa NAZI? Ukijibu hilo utakuwa umejijibu hapo juu.

hahahaha. Umeshaanza kujikataa, where is the twisting ndugu? i quoted YOU! Au kuna quote moja nimeongezea maneno?
 

1. Glad you agree kuwa uamuzi wa kuendela au ku-quit ni juu ya Kagame sio KATIBA YA RWANDA!
2. Glad you agree kuwa RDF is all propaganda, kama wameshindwa ku-wipe out interahamwe since 1994 na badala yake wame-commit genocide in DRC kwa hasira!
3. Kama ripoti imesema at any point kuwa INTERAHAMWE huwa wanakuja TZ, sijui wana connection na Mtikila... then by all means ilete hapa, ukishindwa wewe ni #$%^*&^%!!! na kila mtu amekuona, THE REPORT PLEASE!
4. "you will have proven" hahahaha.....my deile bled is contlakta!....
 
hahahaha. Umeshaanza kujikataa, where is the twisting ndugu? i quoted YOU! Au kuna quote moja nimeongezea maneno?

Qouting and twisting is two different things. When you quote someone you put the quotation in "...". don't see anywhere you doing that!
 
Qouting and twisting is two different things. When you quote someone you put the quotation in "...". don't see anywhere you doing that!

dah wewe shida kweli kweli kuelewa. Angalia maneno yako hapo juu kwenye box...hiyo inaitwaje hapa jamii forum? sio quote? umeona "" hapo?
 

1. Unaishiwa vibaya. Never mentioned kagame or Katiba ila kwa sababu ya u schizophrenic wako basi huwa unasikia sauti kichwani mwako ambazo hazipo. Kweli wagonjwa ni wengi.
2. Schizophrenia again.
3. Soma my original comment halafu usome hii report halfu nadhani kitakachobaki ni kumtafuta mtikila akuambie hao interahamwe anao wa host wako wapi.

http://www.un.org/ga/search/view_doc.asp?symbol=S/2014/42 (read Annex 42)

4. Schizophrenia.
 

1. angalia kwenye red hayo sio maneno yako? umeanza ugonjwa wa kujikataa kama .....



2. weka exact quoatation inayosema interahamwe wako tanzania, hio ripoti kila mtu anayo (sikuileta mimi?) hakuna mahala inasema interahamwe wako tanzania. Kumbuka ukishindwa wewe ni #$%^*&^%!!!
 

Hao waliofikia kwa Mtikila walikuja kunywa kahawa. LOL. I will not be surprised that you were at that meeting.
 
Ha ha ha ha ha ha Mchg Mtikila anawababaisha naye.

Hao waliofikia kwa Mtikila walikuja kunywa kahawa. LOL. I will not be surprised that you were at that meeting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…