Rwanda: Former RDF boss Rusagara arrested over 'link' to exiled opposition


Daydreaming is allowed here dude.
 

Hivi ni dhambi kuwa na upinzani nje ya nchi?

Kama unaamini katika demokrasia inayohubiriwa huko Rwanda, ni dhahiri watatokea watu wenye mawazo tofauti na yale ya mtawala, nadhani hapo ndipo utashi na uvumilivu unakuwepo.

Labda, binafsi sielewi siasa za rwanda, na pia dhana nzima ya demokrasia inavyofanya kazi nchini kwenu.

Kiuhalali, MHAINI hatakiwi kupewa msamaha endapo atakapo bainika na kosa, si kwa Rwanda tu bali dunia nzima. lakini hili la kuoanisha dhima za kisiasa na za kihaini na kuaminisha watu wengi ili kupata baraka ya juu ya jambo unatarajia kulifanya.. napata mashaka nalo.

Nawatakia Rwanda njema na yenye ustawi, iwe sehemu na nchi ambapo anapata uwezo si tu wakutembea nakufanya shughuli zake popote pale kwa amani, bali pia mwenye uweze wa kujieleza,kukosoa,kushawishi umma kwa malengo chanya bila ya hofu.

Mungu aibariki Rwanda.
 
Du hii kali eti magharibi ana chuki.,wakati juzi amiri jeshi wenu mkuu alikuwa huko magharibi na bintiye.Waliokuwa na chuki na magharibi hawakwenda huko kama Comrade Mugabe,Bashir.
 
Huyu Mjeshi sijui sakata lake limekwisha au anasubiri kifungo cha maisha.
 
Sidhani kama ni sahihi kusema Rwanda haipigi hatua. Rwanda inapiga hatua. Tatizo ni kuwa baadhi ya watu wanaona kuwa Rwanda ni Kagame na Kagame ni Rwanda, na wengine wanadhahi kuwa Kagame ataishi maisha. Kuna wakati PK ni kiongozi mzuri sana lakini wakati mwingine anafanya mambo ya hatari sana.

Kwa sasa naona anaimarisha ukabila kwa nguvu kuliko wakati wowote. First he systematically targeted Hutus, in order to gain support and respect among all tutsis, after he managed that he turned to targeting tutsis, some of them atleast.

He killed three presidents he got away with it, threaten Ugandan one, and he thought threatening ours would make life easier for him. All of a sudden amekuwa mtu anayejua kila kitu na wengine wote hawajui lolote. Sasa pole pole maisha yake kisiasa yanakuwa magumu kutonana na michezo yake.

CC: Murutongore, Jmali, Ngongo, Mukamasima
 

Bongolander, niliwahi kumuuliza jMali hili swali lakini hajanijibu naomba umsaidie, tuhuma zoooote ambazo unajua au umesoma hapa dhidi ya kagame, na ni nyingi ina maaana Kagame a president of a small country "with no resources" ana influence kubwa kiasi cha Mmarekani, Muingereza (hapa nasema nchi) ana tailor foreign policy zake to suite one country. RWANDA. Kama unakubaliana na hilo then swali langu ni hili.

IS KAGAME THE MOST POWERFUL PRESIDENT?
 
Last edited by a moderator:

Kagame is the weakest president in Africa, not strongest. His weakness lies in targeting and threatening the weak. Unajua kagame ana kile anachokitafuta, kwa hiyo anatumia njia nzuri na mbaya kupata anachotoka. Waingereza na wamarekani wanataka kuona mtu anayeletea maendeleo na utulivi wananchi wake, nadhani tunaweza kukubaliana kuwa PK analeta hovyo viwili Rwanda. Kwa hiyo amewapa wanachotaka.

Lakini tatizo ni kile anachokifanya ili kukaa madarakani.

Murutongore sipendi useme mengi, lakini naomba tu jaribu kufikiria Rwanda after Kagame. Huo ndio wasiwasi mkubwa nilio nao. ningefurahi kama ungeuliza is Rwanda strongest country in Africa? hilo ndio linatakiwa kuwa swali. Ningependa hilo ndio liwe issue. People of Rwanda will always be there after PK. Hapo ndio litakuwa tatizo la kuidefine nchi na mtu, akiondoka mtu nchi yote inasambaratika.
 

We will cross the bridge when we get there. Only that there are some people kama akina jMali ambao nia yao ni tusifike hata kwenye hilo daraja. They want to instill fear in Tanzanians so that they can then embrace the interahamwes who are being kicked out of DRC to move here so that they can succeed in destabilizing Rwanda. Why do you think kila siku hao interahamwe wanakuja huko Tanzania? "To drink tea? "to quote Mwalimu...NO wana agenda yao ambayo bila kuwa makini Tanzania itaanza kutumia kama base yao. We have to fight the people like jMali who want to use the media to fan hatred against Rwandans. Hilo tutalifanya until the day we die.
 
Last edited by a moderator:

1. mmeshaamua kagame aendelee post 2017 kwa nini unazuga zuga kwa "madaraja"?
2. kagame na jeshi lake mnadai aliwapiga interahamwe in 3 months, akawafuata DRC twice, ...ina maana hao interahamwe wana uwezo mkubwa sana ee? how can they fight the "mighty" RDF twice in DRC na bado wakaendelea ku-exist even today? Halafu interahamwe si ndio wale wenye mapanga tu?
3. Hao interahamwe uliowaona Tanzania ni nani?
4. Katika orodha yako ya watu utakao-"fight" nao ongezea the BBC, maana wamerudia yote ambayo nimesema hapa JF!
 
tufanye mimi mhutu, are you saying more than 80% of Rwandese are killers then?

80% are living comfortably in Rwanda wanaendelea na maisha yao vizuri tu...ni nyie mnaoogopa the long arm of the law ambao mnashinda kwenye forums kama hizi kuwaogopesha watanzania wasiojua historia ya Rwanda ili wawa support. You are wrong. Umeona ile poll ya watanzania wanao support EAC? Asilimia 80% wanaikubali sasa sijui wewe unawasemea watanzania gani? Nilishakuambia utakufa na vidonda vya tumbo. You can't change history booooy!
 

1. Ok....i guess now you have given yourself another title....that of a fortune teller. Congrats...i guess the other titles are not enough for you.

2. I guess these pictures below are not that of your relatives but of actors mmmh..


source: aljazeera

3. Kamuulize Mchungaji Mtikila atakuambia walikuja lini na walikuja kufanya nini?

4. Hilo suala la BBC, give it 2 months huo mkanda wao utapelekwa kwenye archives kama mingine yote and it will be history.
 

Comment kwny zile picha tafadhal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…