This is how a serious country should stand for...and let me tell you one thing popote penye neema na amani shetani hakosekani...Rwanda are seriously doing well in all avenue, sasa hawa wakoloni tayali wanaanza choko choko na ukichukulia kwamba sasa rwanda ilikuwa next kwenye un security council as chair baada ya South africa.....watapambana na watashindwa wanapenda tu kwenye REGION KUSIWE NA AMANI...DRC,RWANDA, BURUNDI, UGANDA, KENYA ELSHABAAB SASA TANZANIA NA LAKE NYASA MALAWI...........Mwenyezi Mungu tusaidie.....