babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,939
- 20,231
Wanasema asubuhi.labda kachapwa baada ya hapoLeo mchana.
Wanasema asubuhi.labda kachapwa baada ya hapoLeo mchana.
uzushi huo! ila inaonesha kunawatu watafurahi akifa! duh dunia hii balaa
Long Life Kaguta. Haujafa ila Wameota Mchana wa leo kuwa Umekufa.
Kwa habari zilizonifikia kagame kapigwa risasi uko rwanda .
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Kwa nimjuavyo Kagame ni Askari Aliyekamilika tena Kwa Kila Kitu na Kiinteligensia Ndiyo Yupo Vizuri sana Kuliko Ufikirivyo na Ana Kikosi Kizuri sana cha Presidential Guard ambao Wamepikwa na Wakapikika Kutoka Kwa Wayahudi na Kuna Mwenzangu Yupo Karibu na Makazi Yake amesema Kuwa Jamaa Yupo Mzima tena wa Afya. Kagame hawezi Kuuwawa Kijinga Jinga Kama Viongozi Wengine na Saa 2 Anakwenda Kuzungumza ktk Runinga Ya Taifa. Tegeni Sikio na Mlio na Access na Rwanda State Television Mtamshuhudia.
Wakuu
hizi ni habar ambazo hazijadhibitishwa lakin ktk mikoa ya Geita, Kagera na Kigoma hii tetesi ya kuuwa kwa kagame imesambaa sana.
Wanadai kauwawa na mlinzi wake kwa kupigwa risasi.
Confirmed! Kagame kapinduliwa baada ya kujeruhiwa katika tukio la kumuua kwa risasi! Kapigwa risasi na mlinzi wake mwenye cheo cha kanali! Habari zaid zinaeleza anatibiwa kwenye hosptal ya king Faisal mjini kigali ila inawezekana ikawa hspital tofauti kwa masuala ya kiusalama.
duh any updates jamani kuhusu PK kufa au kupinduliwa.
Confirmed! Kagame kapinduliwa baada ya kujeruhiwa katika tukio la kumuua kwa risasi! Kapigwa risasi na mlinzi wake mwenye cheo cha kanali! Habari zaid zinaeleza anatibiwa kwenye hosptal ya king Faisal mjini kigali ila inawezekana ikawa hspital tofauti kwa masuala ya kiusalama.
Hiz habar kwetu zimezagaa sana kuwa huyu jamaa ame rest in ....