Informer hizi habari ni nyepesi Sana kwa mwandishi Kama wewe habari Kama hizi ulitakiwa kumwachia mwandishi wa viwango vya chini Kama johnthebaptist liccm
Yani ujinga tulionao siku wagonjwa wakiwa 20 ndio watasema, kipindi hicho tayali ushafika mpaka uko bomba mbili yani mda huu inatakiwa watu wa mipakani wasitoke nje ya mikoa yao wala mtu kuingia, sehemu za mikusanyiko izuiliwe japo mwezi mmoja
Informer hizi habari ni nyepesi Sana kwa mwandishi Kama wewe habari Kama hizi ulitakiwa kumwachia mwandishi wa viwango vya chini Kama johnthebaptist liccm