Rwanda Air to acquire EA's first Airbus A330

CCM ni shida tukifanya mchezo ipo siku tutajikuta hatuna chetu.

Tusiwe na chetu mara ya ngapi, sema tayari hatuna chetu, sasa ni kutumia nguvu za ziada kuvirudisha.
 
Yaani hadi Rwanda wametupita.... inadibi CCM itoke tu, hakuna jinsi

mtapitwa mpk na Burundi manake Somalia wamewapita kidogo subiri siku vita zao za ndani zikikoma tu.
usisahau zanzibar ikipata mamlaka kamili.
Tanzania nchi ya amani endelea kuchagua sisihem manake mkibadili uongozi wapinzani watayaleta ya Libya.
 
Kobe
Mimi siipendi CCM na nitafanya sehemu yangu ya kupiga kura ili iondoke
 
Last edited by a moderator:
ipo siku watafika kama ET
 

Attachments

  • 1441907487870.jpg
    24.1 KB · Views: 160
Tanzania yetu kwa mambo ya usafiri wa anga tupo nyuma wameua airtanzania yaani hadi Rwanda wanatushinda??
 
Tanzania tumeongozwa na rais mpu.mbavu kuwahi kutokea dunia hii...
 
Bora nipande gari hizi hazichelewi kuchomoka seat! Tz hamna walichokiweza chini ya ccm

Sio kweli Samuel Sitta amesema serikali ina mipango kabambe ya kulifufua shirika letu kwa hiyo usiwe na wasiwasi tutakuwa nazo kama mia nane hivi.
 
mkuu hiyo signature na jina lako nimepata shauku ya kufahamu zaidi, ina maana yule Gnassingbe Eyadema inakuaje hapo.???

Unataka nipewe ban au we vipi?Kausha.Mi sijamuimposter mtu yeyote awe marehemu awe hai.Haloo!Mbona unataka kunizulia balaa!
 
MMhhhh! Inakuakuwaje Post ya Rwanda JMali asitokeee?!!! No way ataibuka na kali zaidi ya hii tu, Leo au Kesho wait and see.
 
Udhalilishwaji huh unaofanywa dhidi ya watz hadi lini?! Kwani hilo toy lina-cost kiasi gani?!
 

Huu ni mwezi Septemba. Angalau imebaki miezi 11 tu kukamilisha mpango wao. Hongera Rwanda.
 
mtapitwa mpk na Burundi manake Somalia wamewapita kidogo subiri siku vita zao za ndani zikikoma tu.
usisahau zanzibar ikipata mamlaka kamili.
Tanzania nchi ya amani endelea kuchagua sisihem manake mkibadili uongozi wapinzani watayaleta ya Libya.
Koba na Kobe , Du ni id ya mtu mmoja au?
 

Watanzania wengi hatujui challenge za Airline industry,Kenya Airways wanapata hasara ya billions miaka 3 mfululizo.Hii biashara kwa sasa waarabu ndio wanadominate hata wazungu wanapata tabu huku Africa.Wamebaki KLM na SwissAir the rest ni waarabu Emirates,Qatar,Oman Air,Fly Dubai na Etihad nao wataanza December.
Tungeweza kuifufua hiyo Air Tanzania but naamini ingekuwa inatuingizia hasara kubwa sana na tungeendelea kulalamika
 
atcl imeanza tena safari zake za dar mwanza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] CCM miaka 41 bado tunakazana na trip za kwenda Chattle kwa Kiongozi wa Malaika, hivi ndege ya Canada ishaachiwa.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] CCM miaka 41 bado tunakazana na trip za kwenda Chattle kwa Kiongozi wa Malaika, hivi ndege ya Canada ishaachiwa.
Bado haijaachiwa, naamini ingeonekana.
Any way mdogomdogo something is better than nothing
 
[emoji1][emoji1][emoji1]ndege ziko 8 leo hii ... wapingaji sio wa kupewa nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…