Rvp na chacharito waingia kwenye beef zito

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,899
Reaction score
37,700
Baada ya mechi dhidi ya Olympiakos Robin Van Persie alikaririwa akisema wachezaji wenzie wanamkaba - wanacheza kwenye maeneo ambayo yeye pia hucheza jambo linalopelekea kutokucheza kwenye kiwango chake - Leo hii ikiwa imepita siku moja mshambuliaji mwenzie wa Man United Javier Hernandez Chicharito kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram amemjibu bila kumtaja Van Persie akisema: "Bila wachezaji wenzio kwenye soka, huwezi kufanya chochote. Inabidi uwe na shukrani siku zote."

SOMA MWENYEWE KWA KIKEREWE HAPO CHINI.

After Manchester United's 2-0 defeat at the hands of Olympiakos in the first leg of their Champions League clash, Robin van Persie put some of the blame on his teammates, per Craig Hope of the Daily Mail:
Our fellow players are sometimes occupying the spaces I want to play in.
And when I see that, it makes it difficult for me to come to those spaces as well. So that forces me to adjust my runs, based on the position of my fellow players. And, unfortunately, they are often playing in my zones. I think that's a shame.
Shortly after the quotes emerged, Javier Hernandez, aka Chicharito,posted a picture on his official Instagram with a simple message:

"Without your teammates you can't be somebody in football, always be thankful..."

d287cd5c448be1f2951e0e342be836bd_crop_north.png

MY TAKE : DHAMBI YA USALITI NI MBAYA SANA. RVP ATAENDELEA KUTAFUNWA NA DHAMBI YA USALITI DHIDI YA ARSENAL.

" The Victory of evil over good is just for a while "
 
RVP , Dutch and French Player are mourners kila wakati mambo yakienda vibaya ni kununa na kuanza kuleta za kuleta..., huyu kijana ni problematic when the going get tough he always disappear, pia ni injury prone sana we ngoja tu aanze zile tabia zake za kuumia umia (United should be thankful, he played last year without getting injured)
 
Muda si mrefu tutamsikia nae kaenda kucheza ligi ya marekani..
 
RVP , Dutch and French Player are mourners kila wakati mambo yakienda vibaya ni kununa na kuanza kuleta za kuleta..., huyu kijana ni problematic when the going get tough he always disappear, pia ni injury prone sana we ngoja tu aanze zile tabia zake za kuumia umia (United should be thankful, he played last year without getting injured)

Well said brother. RVP is frustrated by his own inability to score. laana ya mashabiki wa asenali inamuandama.
 
Well said brother. RVP is frustrated by his inability to score. laana ya mashabiki wa asenali inamuandama.

Acha uongo wewe laana gani? Kwan arsenal ni nini kwa RvP?? Kwa akiri ya kawaida Chicharito kashoboka maana wataalam wa mambo, hapo kapondwa Moyes kimtindo...hana uwezo wa kufundisha united. Maana kama kocha unashindwa kufundisha wachezaji jinsi ya kujipanga kwa namba zao hadi wanaingiliana hilo ni janga....kifupi moyes hata amsajili nani hawezi fika popote, maana hajui kupanga kikosi sasa unategemea nini??/
 
Fergie ndo aliye mchagua Moyes, unataka kusema wewe unajua mpira zaidi kuliko Babu?
 
Unataka kusema kwamba Ferguson ni Malaika na hajawahi kukosea?? Wewe huoni ubovu wa Moyes???
 
Kuhusu weledi wa Fergie katika soka siwezi kubishana na wewe kaka. Am asenali damu damu.
 
Ya kuisaliti asenali na kwenda kwa mashetani wanunua mechi

Kwani kunatimu yenye haki miliki ya mchezaji?? I mean akishakuwa kwenye club moja basi ahami??
 
Acha hizo kaka, katika soka kuna kitu kinaitwa LOYALTY. Hatukatai mtu kuhama timu but sio kitendo cha kiuwana michezo kwa mchezaji kuhamia timu pinzani. Bora angeenda Man City au timu nyingine yoyote lakini sio MAN u
 
There's no loyalty in soccer
 
Acha hizo kaka, katika soka kuna kitu kinaitwa LOYALTY. Hatukatai mtu kuhama timu but sio kitendo cha kiuwana michezo kwa mchezaji kuhamia timu pinzani. Bora angeenda Man City au timu nyingine yoyote lakini sio MAN u

Mashabiki wa Arsenal wana shida wachezaji wengi waliohama wanawaita wasaliti kuanzia Cole,Nasri,Flamini,RVP,Song
 
Acha hizo kaka, katika soka kuna kitu kinaitwa LOYALTY. Hatukatai mtu kuhama timu but sio kitendo cha kiuwana michezo kwa mchezaji kuhamia timu pinzani. Bora angeenda Man City au timu nyingine yoyote lakini sio MAN u

Watakucheka watu aisee yaani unalilia mchezaji ambaye wewe PIA ulimsajili??
 
Back
Top Bottom