Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Tunamkaribisha Gunners kiroho safi.
Sio wenger labda huyu kaondoka kwa kejeli kubwa sana, hana tofauti na alivyondoka adebayo au anelka.
Tunamkaribisha Gunners kiroho safi.
Tunamkaribisha Gunners kiroho safi.
Duh umesahau kwamba thatz so called "Futbo" mkuu...Umenikumbusha miaka ya 2007 Rooney na Ronaldo wote wakiwa club ya MANURE...wakakutana kwenye mpambano wa Qualify kila mtu na team yake ya Taifa pale Uingereza...Kwa bahati Rooney alimkanyaga Ronaldo...Ronaldo akarecommend kwa refa kwamba Rooney apewe Straight Red Card na kweli akapewa akatoka nje...ila kwenye club wako team moja!! Ndo futbo hiyo mkuuMimi simtaki kabisa arejee Arsenal baada ya kutufunga Goli na kushangilia kwa nguvu (hatuthamini tena kama tulimtunza hata alipokuwa majeruhi kwa muda mrefu)...!!
Duh umesahau kwamba thatz so called "Futbo" mkuu...Umenikumbusha miaka ya 2007 Rooney na Ronaldo wote wakiwa club ya MANURE...wakakutana kwenye mpambano wa Qualify kila mtu na team yake ya Taifa pale Uingereza...Kwa bahati Rooney alimkanyaga Ronaldo...Ronaldo akarecommend kwa refa kwamba Rooney apewe Straight Red Card na kweli akapewa akatoka nje...ila kwenye club wako team moja!! Ndo futbo hiyo mkuu
ulitaka afunge na aanze kulia? msijifanye mnamapenzi kuliko hata alioanzisha timu.Mimi simtaki kabisa arejee Arsenal baada ya kutufunga Goli na kushangilia kwa nguvu (hatuthamini tena kama tulimtunza hata alipokuwa majeruhi kwa muda mrefu)...!!
ulitaka afunge na aanze kulia? msijifanye mnamapenzi kuliko hata alioanzisha timu.
ashafanya mazur muda aliokuwapo united, atarud tu kwenye fom yake
Ya kuisaliti asenali na kwenda kwa mashetani wanunua mechi