ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Nov 27, 2011 #1 cheki hii kitu.. Attachments Vanpersie.gif 1 MB · Views: 222
driller JF-Expert Member Aug 25, 2011 1,116 246 Nov 27, 2011 #2 cheki hata kuanguka kwake sio kama wakina naniiiii wetu hapa home....! wanaanguka kama gunia la dagaa limerushwa kariakoo kutoka kwenye fuso
cheki hata kuanguka kwake sio kama wakina naniiiii wetu hapa home....! wanaanguka kama gunia la dagaa limerushwa kariakoo kutoka kwenye fuso
njiwa JF-Expert Member Apr 16, 2009 12,380 5,525 Nov 27, 2011 #3 Van magoli.. hiyo pasi anayotoa ni nomah ...
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Nov 27, 2011 Thread starter #4 njiwa said: Van magoli.. hiyo pasi anayotoa ni nomah ... Click to expand... katoa pasi au kaukosa mpira..
njiwa said: Van magoli.. hiyo pasi anayotoa ni nomah ... Click to expand... katoa pasi au kaukosa mpira..
K kajunju JF-Expert Member Jun 30, 2011 999 315 Nov 27, 2011 #5 He is a clinical finisher with outsanding performance ths season.keep it up Rvp
MKUNGA JF-Expert Member Dec 10, 2009 441 71 Nov 27, 2011 #7 Naona arsenal mpo kwenye peak, wakianza kuumia tu ugonjwa wa moyo unarudi. But hongereni