RV4 J inauzwa

RV4 J inauzwa

Loly

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
522
Reaction score
223
Gari aina ya RV4J milango mitano inauzwa Bei 8.5mln ipo hapa Dar

Karibuni wateja
 
Gari aina ya RV4J milango mitano inauzwa Bei 8.5mln ipo hapa Dar

Karibuni wateja
Unauza gari kama unauza kibao cha kukunia nazi asee?

Watanzania tuache uvivu wa kiasi hiki!
 
Hizi gari ni nzuri sana, kama haujaijambisha weka picha nivunje kibubu.
 
Weka picha hua kidogo inasaidia kwa biashara za mtandaoni,vinginevyo utapata shida sana kuuza hiyo gari.
 
Sio uvivu najaribu kuattach inashindikana

Hata details walizosema wadau, hapo juu, ya mwaka gani, cc ngapi, odometer, etc. Wakati unaendelea kuhangaika na hyo attachment hizo info pia zinaweza kutupa mwanga
 
taja hizo detail ulizoambiwa na bride hapo chini

Imetengenezwa 1997, INA cc 1990, imeingia hapa nchini 2006 ni namba A, ni gari yenye muonekano mzuri ndani na nje haina shida yoyote
 
Last edited by a moderator:
Mi natamani gari aina hyo lkn xxa hata picha haionekani
 
Kama unataka kuiona tupia namba yako hapa nikutumie picha whatsap
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom