fredymahenge
Member
- Nov 19, 2014
- 70
- 28
km ngapi baba?????
hivi ulisema unataka kuagiza bito ulifanikiwa...
hapana naona limekaa kikike sana
nasubiri oppa kuna mshikaji ananitafutia
ok,,,uwe unakuja nalo mazoezini basi nipate lift ya mbelehapana naona limekaa kikike sana
nasubiri oppa kuna mshikaji ananitafutia
oppa nayo ni gari? nipe laki tano nikuachie oppa number C! Tafuta porte
ok,,,uwe unakuja nalo mazoezini basi nipate lift ya mbele
Najitaidi kuweka attachments nashindwa
Hizi gari ni nzuri sana, kama haujaijambisha weka picha nivunje kibubu.