Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
- Thread starter
-
- #61
Hivi kwani kufuata utaratibu kuna shida gani? Nilivyosikia vyama vinatakiwa kwanza kupitisha report zao kwa mkaguzi mkuu wa serikali ambae atapitia akiridhika ata sign na kuweka muhuri wake,kabla ya kupeleka kwa msajiri. Vyama havikupitosha kwa CAG kwa kuogopa kubanwa kimahesabu wenyewe wakakimbilia kupeleka kwa msajiri.VYAMA VYOTE VYA SIASA Acheni ubabaishaji fuateni utaratibu kwani hizo ni KODI ZETU
Haahaaa Chadema Hata Bila Ruzuku Itaenda Tu!!
kamati ya pac inatekeleza majukumu yake kisheria. Hii ni taarifa njema kwa wapenda nchi yao.
.....kama ni kweli basi huu ukali wote utakuwa umeratibiwa na ccm kwa ajili ya kuvihujumu vyama vya upinzani vinavyotegemea ruzuku katika kutekeleza shughuli zao za kichama na kimaendeleo ila kwa ccm wao wako imara kwa kuwa na vyanzo vingi vya upatikanaji wa hela..mfano leo karibia viwanja vyote vitaingizia ccm hela kibao
Nadhani sheria hii ina matatizo na inapaswa kurekebishwa haraka iwezekanavyo!Kamati ya PAC inatekeleza majukumu yake kisheria. Hii ni taarifa njema kwa wapenda nchi yao.
Hizo fedha hazina zinatokaje tokaje??
Hata ccm wataathirika vibaya sana,
Hizo fedha hazina zinatokaje tokaje??