Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
Ni nani anayetakiwa kuthibitisha kauli ya CHADEMA kwamba mahesabu ya CHADEMA yameshakaguliwa na hivyo kustahili kuendelea kupata ruzuku? Hii isije kuwa ni njama ya kuidhoofisha CHADEMA baada ya propaganda chungu nzima za kukidhoofisha CHADEMA kushindwa. Ifahamike wazi kwamba CCM inaweza kutoathirika hata chembe kwa sababu wanaweza kuendelea kuchota pesa chungu nzima toka hazina na kuingizwa katika mfuko wa chama hivyo "shughuli za chama" kuendelea bila athari yoyote.
...mkuu hii ni movi yao ya kudhoofisha upinzani,so walijianda,wamevuna tembo wote,wanapiga ngada,twiga na mzigo mwingine umewekezwa kwa rostam na wazee wa epa,bila kusahau fixed deposit ya uswizi...Hata ccm wataathirika vibaya sana,
Ni nani anayetakiwa kuthibitisha kauli ya CHADEMA kwamba mahesabu ya CHADEMA yameshakaguliwa na hivyo kustahili kuendelea kupata ruzuku?
kama wamezuia kweli tujiandae na EPA nyingine maana ccm wataumia vibaya. Kwa chadema tunaweza kuchanga hela na viongozi kujitolea mpaka mgogoro uishe
Wangeifuta kabisa ili hawa wachumia tumbo, CHADEMA wajifunze adabu!