Ruvuma: Katibu wa CCM kizimbani kwa unyang'anyi

Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,342
5,536
Katibu wa uvccm mkoani Ruvuma, Ndugu Robert (40) amepandishwa kizimbani kwa mashtaka ya unyang'anyi na uporaji wa pikipiki (bodaboda). Amekana mashtaka na ameachiwa kwa dhamana hadi tr 14 mwezi wa nane atakapo rudi mahakamani

source: Habari na matukio, RFA
 
kesi ya nyani ukimpelekea ngedele hawezi kuiamua, pia watu wa Ruvuma hamjaamka mnamng'ang'ania nchimbi wakati kilaza tu yule. mbogoro ndo mpango mzima kwanza anauchungu na hilo jimbo amkeni mbona mnalala nyie. nchimbi anakazi ya kuvmbisha mashavu yake na siyo kuwasaidieni wananchi. jamani viongozi wa Songea achei vijana wafanye hiyo kazi ya boda boda kwani hajira zenyewe hakuna mnataka vijana wakaibe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…