Nyie endeleeni kulima mahindi, mkileta hapa mjini tunanunua gunia kwa shilingi 25,000. Mtaendelea kuumia sana sisi tuko mjini tunanunua mazao yenu kwa bei ya kutupa na hakuna kitu mtafanya.
Kuandamana si jawabu la kufikia maendeleo. Weka hoja mezani na wananchi wakikuelewa umetoboa.
Msitegemee mataifa ya nje kuwasemea, ni hoja zako tu ndio ufumbuzi na ukombozi wa mtanzania.