Ruto: Msichana wangu angepata Mkenya…Lakini ni uamuzi wake pia!

Ruto: Msichana wangu angepata Mkenya…Lakini ni uamuzi wake pia!

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,093
Reaction score
165,888
Past sentiments by President William Ruto about wishing his daughters would marry Kenyans have resurfaced after recent family milestones.

Yesterday, Charlene Ruto got engaged to a Tanzanian, while another daughter previously married a Nigerian.

“Ningefurahi sana kama msichana wangu angepata Mkenya. Lakini unajua sasa ni pango wa Mungu na ni uamuzi wake pia.” — President William Ruto (earlier media interview)
 
Mshua hata body language yake, ni kama hajaelewa kiivyo! Ni vile tuu lazima ipate mchakataji.
 
Hiyo sasa ndio East African Community kwa vitendo.
Mbavu zangu..mie!!
Ila kweli..Ngoja nijikoki na mie nikaopoe..Kwa Kagame.. Pisi za kwenye kwaya ya -Ambassadors Of Christ-..Twashukuruuuu......Imani yangu isiyumbe yumbe....nasiwe mpwekeee..
 
Back
Top Bottom