Ruto alishafunga kazi ya kuunda Serikali, Samia bado anaunda Serikali mwaka wa 3 sasa

Williamu Ruto kwa sasa alishafunga kazi ya kuunda Serikali na kilicho bakia ni wateile wanachapa kazi sasa ya kuwaletea Wakenya Maendeleo. Kumbuka Ruto kaapishwa mwaka 2022 Sept, kwa sasa ndio amekamilisha Mwaka Ikulu na kaisha funga teusi, huwezi tena sikia teuzi za Raisi ruto kwa Kenya.

Rais Samia huu ni mwaka wa 3 kazini ila unaweza zania ana siku 8 tangu aapishwe yaani Balaza la mawazili leyenyewe ni teua tengua teua tengua.Daily nchi imjeaaa teuzi tupu.

Habari postive Tanzania ni za teuzi tupu wala sio hata Habari za Uchumi wala kuimalika kwa Shiling ta Tanzania hapana. Ukiamka lazima ukutane na habari za kutea na kuhamisha wizara.

Mama ana mwaka wa 3 anafanyia testing Serikali yake bado yaani hajamaliza kuunda Serikali huu ni mwaka wa tatu sasa yuko Ikulu.

Kama ni mfuatiliaji wa Habari za EAC utagundua kwa Tanzania habari zinazo tawala tangu Samia aingie Mdarakani.ni habari za kutea tu.

Usishange ndani ya wiki 3 zijazo au moja teuzi za wakuu wa wilaya na wakaurugenzi tena kwa.mara nyingine na na kabla ya huu mwaka kuisha wale mawaziri alio wateua wiki jana atawabadilishia vituoa vyao vya kazi.

Ndani ya mwaka mmoja Waziri anazungushwa kwenye wizara 3 tofauti.
Kizimkazi usimlinganishe na Mkenya
 
Kwa secretary ndiyo process, kwani kuna ugumu gani kuunda serikali? Ukitafuta machawa utakuwa na shida kuunda serikali.......shida gani, ni huo uelewa mdogo wa secretary. machawa wakishamsifia anaona ndio wa kuwachagua, siyo merit ya watu...kesho anaona kumbe machawa hawawezi, anachagua tena... secretary huyo
Magu ulisema anateua UDSM sasa akina Nape wamesoma India na Mzumbe bado unalialia tu😂😂

Basi ateuliwe Mo Dewji aliyezima shule bora duniani kuliko Mtanzania yoyote😀🔥🌟🐼
 
hawakumsaidia lolote la maana , na tatizo ni Jiwe kutaka kusifiwa. They were not bold enough to tell him the truth
Tanzania hakuna Mteule anayeweza kumwambia Ukweli aliyemteua!

Ndio sababu huwa tunawatia moyo Wapinzani wa kweli kama Tundu Antipas Lisu
 
Kenya kinda serikali hasa mawaziri mpk bunge liwapitishe Sasa huku ni rais anaamua,tuna katiba mbovu sana
Sio Nafasi zote zipo ambazi hazihitaji Bunge, ila kwa kifupi Luto alisha funga kuunda Serikali.
 
Siku nyingine jibu watu hoja kwa staha, Yani hoja kwa hoja kimsingi tujenge hoja. Haukuwa na haja ya kuniita tutusa. nimemaliza sorry for any inconveniences
Wewe huna Matusi ya kumshinda Genta kwahiyo ulikuwa unajichoresha tu

Na ulivyo wa kijijini unadhani " tutusa" ni Tusi

Hata Bavicha Wenzako wamekupuuza tu!
 
Tanzania hakuna Mteule anayeweza kumwambia Ukweli aliyemteua!

Ndio sababu huwa tunawatia moyo Wapinzani wa kweli kama Tundu Antipas Lisu
Hapa umeongea point kubwa! Bravo!
Huwezi kukiuma kidole kinachokulisha,,utakufa njaa! Tukiwa na system kama za USA ambapo watu wanaomba nafasi na kupishwa na mamlaka za uajili na si Rais, basi watu wataweza kumwambia ukweli Rais mana hatawafuta kazi! Ona secretary alivyowafuta DED na DC kirahisi kama vile kupika mlenda....

Nisalimei huko kwa wajamaa njaa!
 
Williamu Ruto kwa sasa alishafunga kazi ya kuunda Serikali na kilicho bakia ni wateile wanachapa kazi sasa ya kuwaletea Wakenya Maendeleo. Kumbuka Ruto kaapishwa mwaka 2022 Sept, kwa sasa ndio amekamilisha Mwaka Ikulu na kaisha funga teusi, huwezi tena sikia teuzi za Raisi ruto kwa Kenya.

Rais Samia huu ni mwaka wa 3 kazini ila unaweza zania ana siku 8 tangu aapishwe yaani Balaza la mawazili leyenyewe ni teua tengua teua tengua.Daily nchi imjeaaa teuzi tupu.

Habari postive Tanzania ni za teuzi tupu wala sio hata Habari za Uchumi wala kuimalika kwa Shiling ta Tanzania hapana. Ukiamka lazima ukutane na habari za kutea na kuhamisha wizara.

Mama ana mwaka wa 3 anafanyia testing Serikali yake bado yaani hajamaliza kuunda Serikali huu ni mwaka wa tatu sasa yuko Ikulu.

Kama ni mfuatiliaji wa Habari za EAC utagundua kwa Tanzania habari zinazo tawala tangu Samia aingie Mdarakani.ni habari za kutea tu.

Usishange ndani ya wiki 3 zijazo au moja teuzi za wakuu wa wilaya na wakaurugenzi tena kwa.mara nyingine na na kabla ya huu mwaka kuisha wale mawaziri alio wateua wiki jana atawabadilishia vituoa vyao vya kazi.

Ndani ya mwaka mmoja Waziri anazungushwa kwenye wizara 3 tofauti.
Swala la kuunda Serikali ni endelevu halijawahi isha
 
Back
Top Bottom