Ruto alishafunga kazi ya kuunda Serikali, Samia bado anaunda Serikali mwaka wa 3 sasa

Kizimkazi usimlinganishe na Mkenya
 
Hebu ni tolee ungese mwehu mmoja wewe, unaniletea dhihaka badala ya kulumbana kwa hoja. Maku mbegese wewe.
Kama Wewe ni mwanamke Jasiri tukana matusi yaliyonyooka siyo unajirambaramba ulimi wanaume wa Kenya wakutafsirie!
 
Magu ulisema anateua UDSM sasa akina Nape wamesoma India na Mzumbe bado unalialia tu😂😂

Basi ateuliwe Mo Dewji aliyezima shule bora duniani kuliko Mtanzania yoyote😀🔥🌟🐼
 
hawakumsaidia lolote la maana , na tatizo ni Jiwe kutaka kusifiwa. They were not bold enough to tell him the truth
Tanzania hakuna Mteule anayeweza kumwambia Ukweli aliyemteua!

Ndio sababu huwa tunawatia moyo Wapinzani wa kweli kama Tundu Antipas Lisu
 
Wanawake mnafumua Marina, basi huko Moshi mmekwisha!
Siku nyingine jibu watu hoja kwa staha, Yani hoja kwa hoja kimsingi tujenge hoja. Haukuwa na haja ya kuniita tutusa. nimemaliza sorry for any inconveniences
 
Kenya kinda serikali hasa mawaziri mpk bunge liwapitishe Sasa huku ni rais anaamua,tuna katiba mbovu sana
Sio Nafasi zote zipo ambazi hazihitaji Bunge, ila kwa kifupi Luto alisha funga kuunda Serikali.
 
Siku nyingine jibu watu hoja kwa staha, Yani hoja kwa hoja kimsingi tujenge hoja. Haukuwa na haja ya kuniita tutusa. nimemaliza sorry for any inconveniences
Wewe huna Matusi ya kumshinda Genta kwahiyo ulikuwa unajichoresha tu

Na ulivyo wa kijijini unadhani " tutusa" ni Tusi

Hata Bavicha Wenzako wamekupuuza tu!
 
Tanzania hakuna Mteule anayeweza kumwambia Ukweli aliyemteua!

Ndio sababu huwa tunawatia moyo Wapinzani wa kweli kama Tundu Antipas Lisu
Hapa umeongea point kubwa! Bravo!
Huwezi kukiuma kidole kinachokulisha,,utakufa njaa! Tukiwa na system kama za USA ambapo watu wanaomba nafasi na kupishwa na mamlaka za uajili na si Rais, basi watu wataweza kumwambia ukweli Rais mana hatawafuta kazi! Ona secretary alivyowafuta DED na DC kirahisi kama vile kupika mlenda....

Nisalimei huko kwa wajamaa njaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…