Russia's 2018 World Cup stadiums

Russia's 2018 World Cup stadiums

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,818
e134f2f0-02b4-11e4-8d97-670157eb5e80_127550928.jpg

Russia 2018 World Cup

In this handout artists impression provided by the Russia 2018 Organizing Commitee, the Kaliningrad Stadium is shown as proposed and presented as part of the Russia 2018 World Cup bid, on September 29, 2011 in Russia. (Illustration by Russia 2018 via Getty Images)

e72c5a90-02b4-11e4-bd9d-d720cd0f2143_127550946.jpg

In this handout artists impression provided by the Russia 2018 Organizing Commitee, the Volgograd Stadium is shown as proposed and presented as part of the Russia 2018 World Cup bid, on September 29, 2011 in Russia.

eb7c2cb0-02b4-11e4-b4f2-9761adf7bcd4_127550934.jpg

In this handout artists impression provided by the Russia 2018 Organizing Commitee, the Krasnodar Stadium is shown as proposed and presented as part of the Russia 2018 World Cup bid, on September 29, 2011 in Russia.

e1a715b0-02b4-11e4-a26b-5ffa0ee4dd0c_127550923.jpg

In this handout artists impression provided by the Russia 2018 Organizing Commitee, the Ekaterinberg Stadium is shown as proposed and presented as part of the Russia 2018 World Cup bid, on September 29, 2011 in Russia

da87f6f0-02b4-11e4-a26b-5ffa0ee4dd0c_127550944.jpg

dfe0d4a0-02b4-11e4-bd9d-d720cd0f2143_127550939.jpg

d194db80-02b4-11e4-bd9d-d720cd0f2143_127550927.jpg

e76089f0-02b4-11e4-a26b-5ffa0ee4dd0c_127550937.jpg

cd99b910-02b4-11e4-9232-013d0ba02ad8_127550921.jpg

cba58a30-02b4-11e4-8d97-670157eb5e80_127550922.jpg

d0c44510-02b4-11e4-8d97-670157eb5e80_127550926.jpg

e4c98b60-02b4-11e4-9232-013d0ba02ad8_127550929.jpg

e9f2cd90-02b4-11e4-8d97-670157eb5e80_127550931.jpg

e9c5a310-02b4-11e4-bd9d-d720cd0f2143_127550932.jpg

e4cff400-02b4-11e4-bd9d-d720cd0f2143_127550933.jpg
cdffcde0-02b4-11e4-8d97-670157eb5e80_127550935.jpg

cdf71b50-02b4-11e4-bd9d-d720cd0f2143_127550940.jpg

da958b80-02b4-11e4-8d97-670157eb5e80_127550941.jpg

dae58040-02b4-11e4-bd9d-d720cd0f2143_127550942.jpg

db0eda30-02b4-11e4-9232-013d0ba02ad8_127550943.jpg

Source: http://sports.yahoo.com/photos/a-look-at-russia-s-2018-world-cup-stadiums-1404394317-slideshow/
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Laah,naona russia anataka kuionyesha dunia kuwa,kuwa ni sehemu yenye mvuto zaid,pengine kuliko hata UK
 
Brazil analia, ila huyu dawa yake Qatar... hizi ni kufuru
 
Dah!!! Viwanja ni vikali mno na maeneo yote karibu na viwanja yametengenezwa vizuri sana. Mwaka huu mwanzoni Russia walihost Winter Olympics na washiriki na watangazaji walisifia sana viwanja ambavyo mashindano hayo yalifanyika.
 
nadhani Putin anataka kuiaminisha Dunia kuwa sasa karudi rasmi kwenye nafasi yake,

ile Winter Olympics haikuwa mchezo, ilikuwa best katika zote zilizowahi kufanyika
 
Hiyo ni architectural impression,

hii ni miongoni mwa proffessional adhimu hapa duniani,

ni watz wachache wanaoelewa vilivyo kazi za maarchitect,

hii ni kazi ya usanifu na ubunifu wa majengo na mazingira,

kwa hapa tz tunao maarchitect wengi mahiri na wazuri sana ila hawajulikani sana miongoni mwa jamii yetu,

kuna sababu nyingi, lakini uduni wa uchumi wetu unachangia,

kipo chuo kimoja tu hapa tz kinachotoa wahitimu wa fani hii muhumu duniani kinaitwa aridhi university zamani uclas,

kwa hiyo usishangae sana ukadhani hapa kwetu haiwezekani inawezekana kama nchi imedhamiria,

wasanifu majengo (architects)hata hapa wapo wanaoweza kutoa kazi nzuri hata kuliko hiyo hapa juu
 
Ni kweli kabisa na jamaa pesa wanayo, mafuta yanawaingizia mkwanja mzuri sana ndiyo sababu Putin amekuwa na kibri kikubwa. Witerr Olympics ilifanyka Sochi.

nadhani Putin anataka kuiaminisha Dunia kuwa sasa karudi rasmi kwenye nafasi yake,

ile Winter Olympics haikuwa mchezo, ilikuwa best katika zote zilizowahi kufanyika
 
Hiyo ni architectural impression,

hii ni miongoni mwa proffessional adhimu hapa duniani,

ni watz wachache wanaoelewa vilivyo kazi za maarchitect,

hii ni kazi ya usanifu na ubunifu wa majengo na mazingira,

kwa hapa tz tunao maarchitect wengi mahiri na wazuri sana ila hawajulikani sana miongoni mwa jamii yetu,

kuna sababu nyingi, lakini uduni wa uchumi wetu unachangia,

kipo chuo kimoja tu hapa tz kinachotoa wahitimu wa fani hii muhumu duniani kinaitwa aridhi university zamani uclas,

kwa hiyo usishangae sana ukadhani hapa kwetu haiwezekani inawezekana kama nchi imedhamiria,

wasanifu majengo (architects)hata hapa wapo wanaoweza kutoa kazi nzuri hata kuliko hiyo hapa juu
Duh.!
Umeongea kizalendo sana, labda kuna mwaka tutapata viongozi wabunifu. Watakaokuja kuwatumia wasomi wetu ipasavyo.!
 
Du Umeongea kizalendo sana, labda kuna mwaka tutapata viongozi wabunifu. Watakaokuja kuwatumia wasomi wetu ipasavyo.!
Kwa hii CCM tutasubiri hata kiama. Utasikia tunamsubiri mtaalam mwelekezi toka nje, wakati tuko kwenye harakati ya upembuzi yakinifu ili consultant atushauri jinsi ya kufanya feasibility study!! Chezea CCM.Hivi mradi wa mji wa Kigamboni vipi.
 
Back
Top Bottom