Russian Politics

Jack Beur

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
222
246
can somebody tell me is there nobody who can run the country beside Putin and his friend Mendev
 
Currently none but in near future there will be many. Russia is surrounded by enermies and outside and within Russia. Thats why the KGB guys want to make sure that only persions who are aspiring for the future of a Super power Russia are taking that post.
 
can somebody tell me is there nobody who can run the country beside Putin and his friend Mendev

Usifikili Rusia ina usalama wa taifa legelege kama Tanzania, wale watu wanajua wanachokifanya, hawachekicheki kama baba mwanaasha... kwa hiyo ikifika wakati wa mtu "proper" kutawala Rusia, atatawala, hawa jamaa wako makini sana kwa sasa hawataki kurudia yale makosa ya Golbachov au Yetsin... Au Golbachov na Yetsin ukilinganisha na Tanzania ni sawa na utawala wa Mwinyi na Kikwete...
 
wapo wengi sana wanaoweza ku run ile nchi na wapo bright sana kuliko hata Putin sema ni vigumu sana kuingia kwenye system. na warusi wengi hawapo interested na politics kitu wasichotaka kusikia ni vita ila wanaipenda sana kuona mtu anayelinda nchi yao kwani wanajua kuwa wana maadui wengi sana wanaotaka kubeba resource zao
 
tatizo la russians mmoja akichukua nchi atataka atawale mpaka afe au awe anaumwa anakaribia kufa ndio anaachia madaraka...russia is run by KGB....
 
Pan-Russians kama Vladimair Putin hawawezi acha nchi yao isambaratike. Duh! kuingia katika uongozi Russia ni sawa na kuingia chooni
 
he he he he he urusi bana kazi kweli kweli...maana hata katika muvi zao wanadepict siasa kama ugaidi fulani
 
can somebody tell me is there nobody who can run the country beside Putin and his friend Mendev
walikubaliana kati ya putin na Medvedev kuwa yeye ashike kwa miaka minne then baada ya hapo arudi putin tena-
putin ni mbabe na mkorofi,hana kitu inaitwa demokrasia,kwa kuwa alikuwa kgb anataka system aliyokuwa nayo iendelee-ile ya miaka ya 1980's.Medvedev yupo fair sana-ila system nzima ni mbovu-kwa ubishi wa putin anaweza kuiimarisha au kuibomoa urusi.
zaidi ya hapo public ya warusi hawana mwamko wa kisiasa ndo maana nakubaliano ya watu wawili yanakuja fanikiwa siku ya mwisho
 
Back
Top Bottom