Russian airstrikes kill 2 ISIS commanders, 300 militants – Defense Ministry

Russian airstrikes kill 2 ISIS commanders, 300 militants – Defense Ministry

wamezoea kuchinja wakristo sasa wataipata

putin awadondoshee nyuklia ikibidi
 
wamezoea kuchinja wakristo sasa wataipata

putin awadondoshee nyuklia ikibidi

Nao ni wakristo pia hao..wengi ni fake converts so...hapa haihusu dini inahusu magaidi wanaolipwa na USA na Israel kubumundwa na russia. Mchezo wao wakristo wa usa umejulikana na wakristo orthodox ..kujifanya kupiga magaidi kumbe wanawapa visu wachinje watu....
Warusi miaka mia waliishi hawana dini....
 
Ushahidi kwamba wamewaua makamanda wawili wa ISIS na wapiganaji 300 uko wapi?

RT wazushi sana.
 
hivi kati ya marekani na mrusi nilipi taifa lenye umri mkubwa?
 
acha dunia itulie maana marekan alitamba sana ilikua hakuna wakumwambia lolote maana urusi ilishakufa ghafla hiyo imekuja nakas yaajabu kabisa mpaka mmarekan haamin kinachotokea
 
Ushahidi kwamba wamewaua makamanda wawili wa ISIS na wapiganaji 300 uko wapi?

RT wazushi sana.

Urusi ni nchi kubwa na ina technology kubwa sana.. Hawa jamaa wanameweka vifaa vyenye uwezo wa kuingia kwenye mawasiliano ya ISIS na kusikiliza wanachoongea. Moja ya mambo wanayosikia ni hayo. Hakuna haja ya ushahidi zaidi ya huo.
 
Ahahahahaaaaaaaaaa ihuhihihiiiiiiii
 
Back
Top Bottom