Russian-African Forum 2016: Tanzania & Zimbabwe

Russian-African Forum 2016: Tanzania & Zimbabwe

Teh Teh Teh American Hip Hop Superstar.!! Your comment is funny... Cough Cough Cough, sorry for coughing by the way your comment is not surprising at all. It is a typical comment from a brainwashed westerner. What are you intend to say, can you explain a little bit.?? Today Tanzania can choose to get the best deal between the west organs and the BRICS or the east organs. They cannot give shit deal to Tanzania anymore.
mnyamwezi jigger huyo, vijiji vitatu maji ya bomba safi na salama, hongera zake kwa kweli. wewe na kebehi zako hizo hujawahi kuchimba hata kisima cha maji hata yale machafu wanayochangia binadam na ng'ombe.
 
big up kwa Jigger, ophra, bill gates, madonna, usaid, nk. sisi wafuasi wa madiba tunatambua mchango wenu kwa jamii za afrika, hawa wafuasi wa mugabe akina Maziku Masunga Jr. ndivyo walivyo.
 
mnyamwezi jigger huyo, vijiji vitatu maji ya bomba safi na salama, hongera zake kwa kweli. wewe na kebehi zako hizo hujawahi kuchimba hata kisima cha maji hata yale machafu wanayochangia binadam na ng'ombe.
Unaonekana unapenda muziki na burudani. Uhusiano wa Jigger na hiki tunachojadili hapa unatoka wapi.?? Pengine ni haiba yake kusaidia watu wasiojiweza lakini hana nafasi kwa sera za mataifa ya magharibi. Labda angekuwa mwanaharakati kama wakina Talib Kweli, tungeweza kusema tofauti.
 
Mkewe anapondwa mtandaoni na wazungu saa hii kwa kudemonstrate black lives matter kwenye show yake ya half time ya super bowl final.
Achana na wakiritimba utakesha ukiwaelewesha, brain washed nigas can't comprehend shit.
 
RUSSIAN ARE RACIST IN BLOODS.
I DONT KNOW!/
CHEATS.
GREEDY.
AFRICAN COUNTRY EVADE THATS DUMBS.
WE AFRICAN ARE NOT WILD BEAST.
FU.K RUSSIAN.
welcome Europe,China,America but comes in good manners.
Lugha gongana kazini,kama kiingereza hukiwezi mbona uilazimishe wakati kiswahili,lugha yetu tukufu,ukiitumia tutakuelewa vyema tu?
 
Mkewe anapondwa mtandaoni na wazungu saa hii kwa kudemonstrate black lives matter kwenye show yake ya half time ya super bowl final.
Achana na wakiritimba utakesha ukiwaelewesha, brain washed nigas can't comprehend shit.
hao wazungu wawili watatu ndo unafanya news, mbona hao wawili watatu hata hapa bongo wapo! au hukuona watu wamebeba vibango vyao kule zenji, je ndo kusema tz ndo ilivyo?! beyonce anaimba hadi wazungu wanampigia makofi, wanamkumbatia wanambusu, wananunua kazi zake. kobe bryant anapiga kikapu hadi wazungu wanasema kobe.myweather anatengua watu viuno huku akila bata ndani ya nchi yake pendwa. rais bush katika wamarekani wote wakiwemo na wazungu akasema condoleza rice ndo jembe na kumfanya secratary of the state. vetaran wa kivita aliyepigania nchi yake john McCain chali wamarekani ambao wazungu ndo majority wakasema rais ni Obama, akaja mitt romney chalii.
russia hata unaibu waziri kwa mtu mweusi hapati.
 
People can't even have class reunions cum investment peddling without geopolitical paranoia.
 
Unaonekana unapenda muziki na burudani. Uhusiano wa Jigger na hiki tunachojadili hapa unatoka wapi.?? Pengine ni haiba yake kusaidia watu wasiojiweza lakini hana nafasi kwa sera za mataifa ya magharibi. Labda angekuwa mwanaharakati kama wakina Talib Kweli, tungeweza kusema tofauti.
wakati wamarekani mtu mweusi anaweza kushika hadi cheo cha juu zaidi, wa warusi mtu mweusi paka tu. eti ushirikiano na warusi!!
 
Ahsante sana mleta uzi huu kwa taarifa hii muhimu kwetu, Taarifa hii inatuma ujumbe kwa wale waliozoea kubembelezwa na kutuburuza kuwa sasa upuuzi huo umefika ukingo.
 
wakati wamarekani mtu mweusi anaweza kushika hadi cheo cha juu zaidi, wa warusi mtu mweusi paka tu. eti ushirikiano na warusi!!
Unachokiandika unakielewa lakini.?? Tofauti ya negro na waafrika unaifahamu.?? Hebu tusitoke nje ya mada: nimekuwekea mahojiano ya Mkapa, umeweza kutazama.??
 
Unachokiandika unakielewa lakini.?? Tofauti ya negro na waafrika unaifahamu.?? Hebu tusitoke nje ya mada: nimekuwekea mahojiano ya Mkapa, umeweza kutazama.??
nakielewa sana, na haya ya negro na waafrika nayo!! huyo nzee nkapa sitaki hata kumsikia potelea mbali kumuona!
ndani ya mada: russia hatupendi waafrika, huo uhusiano na afrika ni unafiki mtupu. ushawahi kujiuliza kwa nini ziara za viongozi wa urusi kuja afrika ni adimu sana?! wanaenda america, ulaya, asia na s.america kidogo.
 
hata kma russia wana ubaya wao ila kushirikiana nao kuna faida sana.. tofauti kati ya western na russia ni kuwa russia siyo wachoyo kwenye technolojia yao, lakini pia itatupa sauti fulani sisi kama nchi maana tunakuwa tuna uamuzi wa mambo yetu...wale wakizingua tunashirikiana na hawa hawa wakizingua tunashirikiana na wale..... historia inatuambia kipindi ambacho afrika ilikuwa na kiburi ni kipindi abmacho alikuwa anauhusiano zaidi na russia
 
nakielewa sana, na haya ya negro na waafrika nayo!! huyo nzee nkapa sitaki hata kumsikia potelea mbali kumuona!
Aisee..
ndani ya mada: russia hatupendi waafrika, huo uhusiano na afrika ni unafiki mtupu.
Kwanini hatupendi waafrika.?? Kuna viashiria vyovyote kwa serikali ya Urusi kuhusika na madai yako.??
ushawahi kujiuliza kwa nini ziara za viongozi wa urusi kuja afrika ni adimu sana?! wanaenda america, ulaya, asia na s.america kidogo.
Sijawahi kujiuliza.?? Kwani uhusiano wa nchi na nchi unaupimaje.??
 
Aisee..

Kwanini hatupendi waafrika.?? Kuna viashiria vyovyote kwa serikali ya Urusi kuhusika na madai yako.??

Sijawahi kujiuliza.?? Kwani uhusiano wa nchi na nchi unaupimaje.??
Haya maswali cjui kama atachomoa
 
russia ilikua zamani,hii ya sasa yenyew tupu inahitaj kusaidiwa
 
Inahitaji kusaidiwa kwenye nyanja zipi.?? Maana kila taifa lina sifa ya utegemezi kwa mataifa mengine.
tegemezi gani labda unaouongelea??mi nazungumzia hali ya uchumi ya russia kwa sasa
 
Inahitaji kusaidiwa kwenye nyanja zipi.?? Maana kila taifa lina sifa ya utegemezi kwa mataifa mengine.
yenyewe tupu uchumi wake unategemea zaidi mafuta na gas,bei za vitu hbyo viwili ikiyumba kama ilivyo sasa uchumi wake unayumba sana.... so blikua namaanisha yenyewe tupu bado ina safari ndefu sana ya kwenda tofauti na mataifa mengne km US,GERMAN CHINA na japan
 
tegemezi gani labda unaouongelea??mi nazungumzia hali ya uchumi ya russia kwa sasa
Utegemezi wa vitu vingi kwa maana ya taifa. Jaribu kupitia taarifa za IMF na WB, miongoni mwa nchi kumi zenye uchumi imara duniani, Urusi pia ipo.
 
yenyewe tupu uchumi wake unategemea zaidi mafuta na gas,bei za vitu hbyo viwili ikiyumba kama ilivyo sasa uchumi wake unayumba sana.... so blikua namaanisha yenyewe tupu bado ina safari ndefu sana ya kwenda tofauti na mataifa mengne km US,GERMAN CHINA na japan
Urusi haitegemei mafuta na gesi tu; kuna teknolojia, viwanda vya uzalishaji pamoja na madini. Ndio nchi inayoongoza kuwa na hifadhi ya madini ya almasi duniani, pamoja na madini ya vito aina ya alexandrite ambayo kwa mara ya kwanza yalipatikana Urusi. Jaribu kupitia taarifa mbali mbali, utafahamu mengi kuhusu taifa hili.
 
Back
Top Bottom