Russia yasema itaishambulia S-300 ya Slovakia itayokuwa ikipelekwa Ukraine

Mnavyo muinua huyu #Putin akisoma humu lazima awape uraia wa Urusi #naona #putin anaona raha sana kumwaga damu za watu wasio na hatia

Yani kwenye hii Dunia who is Putin anajikuta anawapangia nchi huru jinsi ya Kuishi huyu jamaa sio binadamu wa kawaida ana roho ya mauaji ndani yake Mungu mwenyewe ambadilishe.

Yani its like Tz leo tukitaka kujiunga Jumuiya yoyote tunayoona inatufaa eti Kenya atupige mkwara kisa tupo EAC
marekani na NATO yao ,wameua Sana tu au unajifanya ubongo wako hauna kumbukumbu !? mbona hukumuita marekani muuaji!!??, USA walimuua rais wa Libya ambaye alisisitiza Africa inunue satellite yake ,na wazo la afrika iwe na single currency . marekani hawakuishia hapo wameua Sana tu Syria ,Afghanistan ,vietnam na maeneo mengi. je hapo utamuita marekani malaika sio!!!
 
Putin mbona anawalea sana waukraine au anaogopa kuacha historia mbaya ndio maana anakwenda mwendo wa tortoise
Sio eti anawalea, vita ni vigumu na amezidiwa hadi ameweka sheria ngumu dhidi ya vyombo vya habari nchini mwake hadi sasa Kyiv anaiona tu kama sisi tunavyoiona na majenerali wanaisha.

NB: Amebisha mlango China kuomba msaada. Usicheze na vita bwana.
 
Yaani alisema atakayeisaidia ukrain kuvyovyote ana deal naye, ila sasa hivi wanaoisaidia ukrain wanaita na press kutangaza kupeleka msaada wa kivita. Ila jamaa ana mikwala mizito, mwanzoni watu walinywea ila baada ya kuona mambo yanavyomwendea huko Ukraine naona kila mtu anajishikia sharubu.
Jifunze kusoma na kuelewa ulichosoma,acha brabra za kitoto,
 
Kwanza alisema yeyote atakaisaidia Ukraine cha moto atakiona,kinyume chake tumeshuhudia misaada ya kijeshi na kifedha ikipelekwa Ukraine hadharani na mpaka sasa hakuna chochote alichokifanya.
Putin hawezi kupeleka ujinga wake Nato na hilo analijua fika.

Jenerali moja mstaafu wa Uingereza ameshauri kwamba akiichokoza Nato wakati wanampiga wasifikirie kabisa swala la nyuklia ili wampige vizuri kwani hawezi kujibu kwa nyuklia ni vitisho vyake tu kwani ana asili hiyo.

NB: Ukitumia nyuklia wewe ndio unakuwa wa kwanza kufa kabla ya maadui zako. Hakuna mrussia atakayekubali huo ujinga wa Putin.
 
Hao jamaa ni wapumbavu, marekani ni wachonganishi. Wanataka kuungwa mkono na dunia nzima bila kuwa na hoja ulaya pamoja na kumlaani urusi wanajua ukweli uko wapi.
Wakati urusi anavamia cremea marekani alimshawishi mfaransa asimuuzie mrusi manowari ya kivita ambayo tayari alishapokea pesa, juzijuzi mmarekani kamzunguka mfaransa kwenye dili la kutengeneza manowari austria
Ndio shida yenu watu wa kukariri na ambao hawapendi kusoma. Austria wana bahari....!!! Ungekuwa mahakamani umeshapoteza kesi asubuhi.
 
Wenzetu wanatosana dunia haimkubali Putin wanamaanisha hivi:
IMG_20220320_102221_973.jpg

Nalog off
 
Back
Top Bottom