Russia yaanza utengenezaji wa makombora ya S-500

  • Thread starter profesawaaganojipya
  • Start date
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
6,566
Points
2,000
ze kokuyo

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
6,566 2,000
Ivi hiki kitaifa cha Israel mbona lenyewe silioni kwenye mnyukano wakuvumbua silaha kali kali,, wanaotamba ni irán, Usa, russia, north korea etc,
Iki kitaifa cha Israel kinachosifiwa sifiwa ña waisrail wanywa gongo wa tz mbona chenyewe sijawaisikia wametoa silaha yoyote ambayo inasifika kwa ubora, mí nadhani usalama wa Israel upo mkononi mwa Usa, waisrael kukosa América saizi ishafutwa
Iran hajawahi vumbua silaha yoyote,labda kuunda na kama kuunda Israel kwenye hiyo sekta yupo vizuri sana na anauza silaha Marekani, India mpaka Urusi
 
MTOTO WA KUKU

MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Messages
2,299
Points
2,000
MTOTO WA KUKU

MTOTO WA KUKU

JF-Expert Member
Joined May 3, 2012
2,299 2,000
Baelezee
Iran hajawahi vumbua silaha yoyote,labda kuunda na kama kuunda Israel kwenye hiyo sekta yupo vizuri sana na anauza silaha Marekani, India mpaka Urusi
 
LOVE U JF

LOVE U JF

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Messages
352
Points
500
LOVE U JF

LOVE U JF

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2018
352 500
Warusi wananichanga nilitaka kuchukua s~400 sasa kama ndyo hvyo basi ngoja nivute subra kuingoja s~ 500 . Ikiwa tayari mtani tag
 

Forum statistics

Threads 1,315,687
Members 505,292
Posts 31,867,021
Top