Russia Warns Israel, West Against Attack On Iran

Russia Warns Israel, West Against Attack On Iran

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
(Reuters) - Russia warned Israel and the West on Wednesday against any military strikes on Iranian nuclear facilities but suggested Tehran should be quicker to cooperate over inspections of its nuclear sites.

Speaking at his annual news conference, Russian Foreign Minister Sergei Lavrov mixed words of caution over isolating Iran or attacking it with a gentle nudge to Tehran over the inspections by the International Atomic Energy Agency.

"Attempts to prepare and implement strikes on Iranian nuclear facilities and on its infrastructure as a whole are a very, very dangerous idea. We hope these ideas will not come to fruition," Lavrov said.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has hinted strongly at possible military action to stop Iran from developing an atomic bomb. In an election victory speech on Wednesday, he said preventing Iran from obtaining nuclear weapons would be the main challenge for a new government.

Read more: Russia warns Israel, West against attack on Iran | Reuters
 
When Russia is the one talking diplomacy one has to wonder
 
Russia you need to remember where is your granpa USSR
 
--- Russia is Talking... empty words... U.S. A is walking the talk...of her words....!!! Quite opposite things...!!!
 
It's good for Russia to speak for Iran and other nations which are politically and militarily suppressed by Israel and the West. If Israel, a very small nation, has nuclear weapons then, why not other nations like Iran? All nations have the same status and deserve equal treatment. Long live, Iran and North Korea for your nuclear programme!
 
nakumbuka nilisoma mahali hitler akisema kwamba ukiona waziri wa mambo ya nje anasisitiza njia za diplomacy kutatua tatizo kwa nguvu zote..basi ujue nchi imeagiza silaha mpya na inajiandaa na vita...iran inajiandaa kwa vita..refiki yake wa karibu north korea kasema atampiga mmarekani..tusubiri tuone
 
Iran haikubaliki kuwa na Nuclear Sababu ya Maneno yake na anavyosaidia Magaidi Duniani ndio maana anaonekana kama Maralia na kama ujuavyo Maralia Haikubaliki....

Yeye ameshasisitiza kuwa Ataifuta kwenye Ramani Israel si ndio maana ameamua kujiingiza kwenye silaha hizo za maangamizi na kwa jinsi ya werevu wa Israel hawezi kuona kitendo cha Iran na jinsi anavyopata jeuri kutoka kwa Russia sababu anamlipa pesa nyingi ili amsaidie kutengezeza kila kitu kinachompa jeuri Iran kinatoka Russia na Germany pamoja na Israel kwa Njia za Panya basi Iran Bichwa Hilo.... Tuliona wababe wengi Duniani na wakadondoshwa chini.... Sasa navyojua Israel akiona hali inazidi kuwa mbaya ataipiga tu bila uoga hiyo Iran na huyo Russia ataangalia tu huku watu washamaliza Kazi...
 
nakumbuka nilisoma mahali hitler akisema kwamba ukiona waziri wa mambo ya nje anasisitiza njia za diplomacy kutatua tatizo kwa nguvu zote..basi ujue nchi imeagiza silaha mpya na inajiandaa na vita...iran inajiandaa kwa vita..refiki yake wa karibu north korea kasema atampiga mmarekani..tusubiri tuone

Hawa Ma persian wana akili na Ujinga pia ni kama hao wajinga wenzao north Korea ikija vita basi watarusha vikombora vyao sita au saba na wakishambuliwa na wao wanarusha tena kama 20 then wanaomba maongezi huku wakiwa wamebakiwa na makombora 30 ambayo hayawezi kuwafanya washinde vita hii ni ujinga kama ule wa Gaza wamepigwa vibaya then wanatangaza wameshinda vita... tena baada ya kuliliwa na theluthi ya wajinga duniani haswa waarabu kuwa wanaonewa. Dunia nzima inajua mmepigwa vibaya na nyie mnatangaza mmeshinda Vita? bulshait.. mie napenda wakianzisha vita waachwe si na wao wanajifanya wamekua.... bakora zikiwaanza tu wanajaa mitaani na mabango waislam wanaonewa.... oooh! Mtoto akililia Wembe Mpe!

Israel ni Baba kubali au ukatae... Ukimlaani Mungu aakulaani wewe na ukimbariki na Mungu Atakubariki hayo ni maandiko kama unabisha Ole Wako
 
Hivi Mkuu Duduwasha unajua unachokinena?
 
Last edited by a moderator:
Hivi Mkuu Duduwasha unajua unachokinena?

Nimenena Mengi hapo lipi unamashaka nalo? Kama Ni Vita Korea Hawezi Kumshinda Mmarekani na kama Israel haqshindwi kumpiga Muiran huku kuchelewa ni sababu ya international presha tu....
 
Russia ni taifa shetani hapa duniani. Tazama jinsi lilivyo chochea mgogoro wa syria! kama marekani ingefanya syria ilichofanya Libya, mambo ya syria yangeisha mwaka jana . lakini russia ikapinga nguvu z akijeshi, sasa ona syria wanavyokufa ovyo! sijui kwa nini tuna ubalozi na urrusi!
 
wewe ndio hujui unachouliza, bora kaa kimya!

Ikiwa utawala wa Kizayuni walipigana na Kikundi cha Wanamgambo wa Hizbullah cha Lebanon(Hizbullah sio nchi ni kikundi ndani ya nchi ya Lebanon) hadi Wazayuni wakaondoka ktk sehemu walizokua wamezikalia kule Lebanon itaiweza Iran?Walipigana siku 33.Vipi watu wenye upembuzi yakinifu wataisifu Israel eti wana nguvu,eti taifa teule ,je watu hawa wanasoma Biblia ipi?Tuache kufikirishwa.
 
Go back to school ndugu, halaf tumia vizuri internet yako itakusaidia...Israel Imekalia kwa mabavu (Nguvu za Kijeshi) kwa zaidi ya miaka 10 Southern Lebanon, Golan Heights(Jordanian teritory au Syria kama cjakosea) na Sinai Peninsula(Egypt) na waarabu wakashindwa kuwaondoa, encounter ya Israel na Hezbollah ilitokea na ni Hezbollah ndio waliofloat coz mwanzoni serikali ya Lebanon iliwaruhusu ku-operate ndani ya Lebanon baadae waziri mkuu wa Lebanon Rafik Hariri akawatosa na kuwadeclare outlaws so wakahamia Jordan then Palestine, for the record Israel haijawah kuwa at war na cjui vijiHezbollah, vijiHamas au Fatah instead kinachotokea ni hao jamaa kurusha viroketi kadhaa kutoka mafichoni into Israel then Israel anastrike bac, sasa hiyo ni vita gani kama unastrike kutoka mafichoni, hapo umepigana au umechokonoa,
Isarael ndio major Super power in the Middle East jaribu kutofautisha itikadi zako za kidini na siasa, nakupa homework nenda Wikipedia kagoogle '6 Day War', utaona jinsi Israel alivyopigana vita na Egypt, Syria, Jordan,Saudi Arabia, Lebanon na Iraq kwa pa1 bila msaada wa nje na kushinda tena ndani ya siku 6 tu, no country can handle the pressure that Israel is handling kuzungukwa na maadui kila upande na bado unasurvive tena kwa mabavu ni sign ya great military strength not to mention the best Secret Service in the world MOSSAD ambayo hata CIA wanasubiri sana kwa hao jamaa, sasa ukiquestion nguvu ya Israeli wewe kama msomi cjui tukueleweje!
 
Go back to school ndugu, halaf tumia vizuri internet yako itakusaidia...Israel Imekalia kwa mabavu (Nguvu za Kijeshi) kwa zaidi ya miaka 10 Southern Lebanon, Golan Heights(Jordanian teritory au Syria kama cjakosea) na Sinai Peninsula(Egypt) na waarabu wakashindwa kuwaondoa, encounter ya Israel na Hezbollah ilitokea na ni Hezbollah ndio waliofloat coz mwanzoni serikali ya Lebanon iliwaruhusu ku-operate ndani ya Lebanon baadae waziri mkuu wa Lebanon Rafik Hariri akawatosa na kuwadeclare outlaws so wakahamia Jordan then Palestine, for the record Israel haijawah kuwa at war na cjui vijiHezbollah, vijiHamas au Fatah instead kinachotokea ni hao jam
 
Back
Top Bottom