Russia Victor Day Pared,Pictures

Putin anawatisha america kuonyesha nguvu za kijeshi alizonazo
 
no madman would want to confront that...,

I hope i will be long gone before such a crazy person exist in the US.death is a Guaranteed endevour. war between US and Russia is granting a death-wish to a huge percentage of Human population.
 
Hivi Putin si atupe hata Sukhoi ''used' kadhaa manake Wachina hatuwaamini kwa misaada yao ya kijeshi....ila hata hivyo wanatuditiri kiaina.
 
BULAVA intercontinental ballistic Nuclear capable missile...habari yake ni nyingine ata US mwenyewe will never mess up with....Zaidi US anajaribu kuzirubuni nchi za EU/ NATO ili kuweka global missile defence shield inoder to counter Russian Threat ili ikitokea vita UEROPE ndo iathirike what if nuclear missile is intercepted on ur sky......
 
Dotworld, hebu tafadhali nipe details kidogo kuhusu Russia's Defence Minister, Shoigu. Naona ana sura kama ya Asia hivi. Anatoka katika jimbo gani la Russia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…