inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,582
Kwa mfano sisi hapa tanzania bajeti kuu inategemea wafadhili kwa 40% au zaidi na hao wafadhili ndio watakaokuwa vitani,pili uchumi wa nchi kama ya kwetu unategemea sana petrol ambayo itapanda bei sana kwa ajili ya vita kwa hiyo unaweza kuona jinsi ambavyo hatutaweza kunyanyuka kabisa.
bajet utegemez 40% ilikua kipindi cha mkapa,jakaya kaipunguza had 15%