Russia iko tayari kuipa Iran S-400 kwa ajili ya kujilinda

Ila Iran hawakubali saana hao jamaa.Hivi ukitoa Israel kuna nchi tena pale mashariki ya kati yenye uwezo wa kutengeneza vifaa vya kijeshi zaidi ya Iran kweli?
sidhani kama iran ataagiza hiyo system,kwanza ni usumbufu,order itachukua hata miaka miwili,wakati wao wanafight kuzalisha kitu cha nyumbani,ndo maana hawana pressure ya kuomba
 
sidhani kama iran ataagiza hiyo system,kwanza ni usumbufu,order itachukua hata miaka miwili,wakati wao wanafight kuzalisha kitu cha nyumbani,ndo maana hawana pressure ya kuomba
Ila hili nalo nikwel ujue jamaa uki waorder wanajiskilizia sanaaaaa
 
Back
Top Bottom