Russia iko tayari kuipa Iran S-400 kwa ajili ya kujilinda

Kibumbula

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
3,681
3,346
Russia imesema iko tayari kuipa Iran mfumo wa kujilinda wa S-400.Imesema kuwa Iran bado haijaomba kupewa mfumo huo.

Yetu macho na masikio.
Screenshot_20190629-075710.jpeg
 
Hiyo sijui S-400 imeshafanya nini mbona hatujawahi kuona chochote.

Hizo ni Expensive Toys tu ambazo hao Russians wanatumia kujikwamua na hali ngumu ya uchumi kufuatia vikwazo walivyowekewa na nchi za magharibi. Hamna kitu hapo.
 
Mbona povu linakutiririka ndugu! We uliyotengeneza ikowapi? Acha dharau USA mwenyewe hataki watu wanunue hizo S-400 anaogopa atapoteza soko la silaha zake, ila wewe ambaye uko Tz unatokwa na povu kali utazani na wewe ni mshindani wa Russia.
 
Kwa hiyo wewe una hisa asilimia ngapi kwenye hizo pipa za S-400.
 
Tengeneza zako mkuu.Kama zingekuwa toys mpumbavu baba yako USA asingehangaika kuizuia Turkey asinunua hizo S-400 au India.
Hiyo sijui S-400 imeshafanya nini mbona hatujawahi kuona chochote.

Hizo ni Expensive Toys tu ambazo hao Russians wanatumia kujikwamua na hali ngumu ya uchumi kufuatia vikwazo walivyowekewa na nchi za magharibi. Hamna kitu hapo.
 
Hiyo sijui S-400 imeshafanya nini mbona hatujawahi kuona chochote.

Hizo ni Expensive Toys tu ambazo hao Russians wanatumia kujikwamua na hali ngumu ya uchumi kufuatia vikwazo walivyowekewa na nchi za magharibi. Hamna kitu hapo.
zingetengenezwa na muisrael ndo ungezisifia
 
Uzuri wa Iran huwa haibembelezi.
Urusi kuna kipindi waliringa kuipa Iran s-300 wakati iran ilishaweka order, Wairan kwa utabe wakazama kwenye workshop zao wakajiundia from scratch kitu chao wenyewe BAVAR 373 ambacho ni kikali kama S-300

Juzi wametumia KHODARD 3 kutungua drone ya bei ghali kuliko zote duniani!

Wairan wana brains za kujitosheleza kiulinzi

1142303
 
Hiyo sijui S-400 imeshafanya nini mbona hatujawahi kuona chochote.

Hizo ni Expensive Toys tu ambazo hao Russians wanatumia kujikwamua na hali ngumu ya uchumi kufuatia vikwazo walivyowekewa na nchi za magharibi. Hamna kitu hapo.
Unaijua s-400 vizur sana
 
Back
Top Bottom