Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 676
- 1,028
Usijifu una mbio msifu na anayekufukuza
HaaaaaNa kama huna mbio tangulia mbele
Mkuu yani Putin ni makini sana kuliko yule mjaluo wa Marekani mwenye hasira kama za Baba jescaJibu hili la Russia kwa utawala wa Obama ni chungu kuliko kudondosha atomic bomb NY. Ha ha ha; hao ndio mabingwa wa diplomasia hadi unajiona mpuuzi ww mwenyewe. Sijui Obama atawaita wanadiplomasia wake nyumbani? Hili ni jibu lenye akili za kutosha kutoka Moscow.
I knew this will happen.January 20 ileee... raisi OBAMA(osama) hajui afanye nini....hao wanadiplomasia aliowafukuza watarudishwa baada ya Jan 20
Ka Obama kana fikra mbovu za kiafrica,kangekuwa huku kangegoma kuachia madaraka.Trump kwa issue ya Urusi hana tatizo,atakuwa na uhusiano mzuri tuu na Putin.Israel huko mambo ni yaleyale hakutakuwa na jipya na mambo yatakaa sawa.Trump na Putin hawatakuwa na tatizo kutakuwa na concensus.kwenye iq naamini putin amemwacha kwa mbali mjaluo maana mara nyingi huongozwa kwa busara wakati mjaluo huongozwa kwa mihemuko na chuki halafu anamwachia bwana trump jumba bovu/mzigo mfano
mjaluo a.k.a obama ana roho mbaya sana
- suala la urusi
- mgogoro wa mashariki ya kati
Marekani ina cheza na akili zetu inatka kumleta Russia karibu ili kuimaliza Syria na uchina Obama anfukuza trump atawrudisha Putin atadhani trump ni mshirika muhimu na kumuamini hapo us ndo wanaanza kufanya yao ni mawazo yangu tu wanduguKa Obama kana fikra mbovu za kiafrica,kangekuwa huku kangegoma kuachia madaraka.Trump kwa issue ya Urusi hana tatizo,atakuwa na uhusiano mzuri tuu na Putin.Israel huko mambo ni yaleyale hakutakuwa na jipya na mambo yatakaa sawa.Trump na Putin hawatakuwa na tatizo kutakuwa na concensus.
Inawezekana ila Obama ashachemsha,Putin ni mtu hatari sana yule,boss wa zamani wa KGB.Marekani ina cheza na akili zetu inatka kumleta Russia karibu ili kuimaliza Syria na uchina Obama anfukuza trump atawrudisha Putin atadhani trump ni mshirika muhimu na kumuamini hapo us ndo wanaanza kufanya yao ni mawazo yangu tu wandugu
Ha ha ha Mkuu hapo mwisho inaonesha ni jinsi gani ulivyokuwa naroho mbayaHapa Obama kashikwa pabaya.
Ila binafsi nakushukuru president Obama mpango wako wa Young African Leaders Initiative (Yali) umenifungulia njia kibao kwenye maisha yangu kama kijana. Mambo mengine utajijua wewe na serikali yako