Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 711
- 1,101
Salaam!!,
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba, hatowafukuza wanadiplomasia wa U.S. Pia amewakaribisha na familia zao katika sherehe za kukaribisha mwaka mpya
Uamuzi huo umekuja baada ya Ikulu ya washington kuwafukuza wanadiplomasia 35 wa Urusi mapema hv karibuni
Wataalam wa diplomasia za kimataifa mnalizungumziaje jmbo hili
Je Obama anaonekana kushindwa kipndi hiki zikiwa zimebaki wiki 3, kabla hajaachia madaraka ?.
Na Trump atachukua hatua gani baada ya kuapishwa?
By JM