Russia Haitawafukuza wanadiplomasia wa Marekani

Issakson makanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
674
1,028
Salaam!!,
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kwamba, hatowafukuza wanadiplomasia wa U.S. Pia amewakaribisha na familia zao katika sherehe za kukaribisha mwaka mpya

Uamuzi huo umekuja baada ya Ikulu ya washington kuwafukuza wanadiplomasia 35 wa Urusi mapema hv karibuni

Wataalam wa diplomasia za kimataifa mnalizungumziaje jmbo hili
Je Obama anaonekana kushindwa kipndi hiki zikiwa zimebaki wiki 3, kabla hajaachia madaraka ?.
Na Trump atachukua hatua gani baada ya kuapishwa?

By JM
 
Jibu hili la Russia kwa utawala wa Obama ni chungu kuliko kudondosha atomic bomb NY. Ha ha ha; hao ndio mabingwa wa diplomasia hadi unajiona mpuuzi ww mwenyewe. Sijui Obama atawaita wanadiplomasia wake nyumbani? Hili ni jibu lenye akili za kutosha kutoka Moscow.
 
kwenye iq naamini putin amemwacha kwa mbali mjaluo maana mara nyingi huongozwa kwa busara wakati mjaluo huongozwa kwa mihemuko na chuki halafu anamwachia bwana trump jumba bovu/mzigo mfano
  1. suala la urusi
  2. mgogoro wa mashariki ya kati
mjaluo a.k.a obama ana roho mbaya sana
 
Mkuu yani Putin ni makini sana kuliko yule mjaluo wa Marekani mwenye hasira kama za Baba jesca
 
e6843a91c8d3f14b3f0d78f92985148e.jpg
January 20 ileee... raisi OBAMA(osama) hajui afanye nini....hao wanadiplomasia aliowafukuza watarudishwa baada ya Jan 20
I knew this will happen.
 
Hapa Obama kashikwa pabaya.

Ila binafsi nakushukuru president Obama mpango wako wa Young African Leaders Initiative (Yali) umenifungulia njia kibao kwenye maisha yangu kama kijana. Mambo mengine utajijua wewe na serikali yako
 
kwenye iq naamini putin amemwacha kwa mbali mjaluo maana mara nyingi huongozwa kwa busara wakati mjaluo huongozwa kwa mihemuko na chuki halafu anamwachia bwana trump jumba bovu/mzigo mfano
  1. suala la urusi
  2. mgogoro wa mashariki ya kati
mjaluo a.k.a obama ana roho mbaya sana
Ka Obama kana fikra mbovu za kiafrica,kangekuwa huku kangegoma kuachia madaraka.Trump kwa issue ya Urusi hana tatizo,atakuwa na uhusiano mzuri tuu na Putin.Israel huko mambo ni yaleyale hakutakuwa na jipya na mambo yatakaa sawa.Trump na Putin hawatakuwa na tatizo kutakuwa na concensus.
 
Marekani ina cheza na akili zetu inatka kumleta Russia karibu ili kuimaliza Syria na uchina Obama anfukuza trump atawrudisha Putin atadhani trump ni mshirika muhimu na kumuamini hapo us ndo wanaanza kufanya yao ni mawazo yangu tu wandugu
 
Hapa Obama kashikwa pabaya.

Ila binafsi nakushukuru president Obama mpango wako wa Young African Leaders Initiative (Yali) umenifungulia njia kibao kwenye maisha yangu kama kijana. Mambo mengine utajijua wewe na serikali yako
Ha ha ha Mkuu hapo mwisho inaonesha ni jinsi gani ulivyokuwa naroho mbaya
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom