red bandama
JF-Expert Member
- Jul 29, 2016
- 483
- 575
Wenzio toka usiku wa Jana wanachezea kichapoMasaa 48 ya trump hayajaisha mpaka leo?
Urusi amebaki kama mbwa koko
Wenzio toka usiku wa Jana wanachezea kichapoMasaa 48 ya trump hayajaisha mpaka leo?
Kwann USA hawezi kwenda vitan mwenyewe??Wenzio toka usiku wa Jana wanachezea kichapo
Urusi amebaki kama mbwa koko
Hata wao wangependa kama wewe hivyo ila kumbuka, "Great Decisions Always Require Great Sacrifices". Sio mchezo mchezo.Natamani mrusi muiran na Syria nao wajibu mapigo tumalize ubishi humu maana tushachoka na mikwara

Pole sana mkuu Putin ana akili sana kuliko unavyofikiri hilo limedhibitishwa Na wenyewe hao makahaba wa Uhuru wa watu wa dunia marekani Na vibaraka wake.....ngoja wachunguzi waseme hakuna silaha yoyote ya kemikali waliyotumia wasyria....Puttin msanii,sio wa kumwamin sana maneno yake,ndomana hao jamaaa wameliamsha.
Hata kama hautumi akili, hata kuona huoni??Puttin msanii,sio wa kumwamin sana maneno yake,ndomana hao jamaaa wameliamsha.
Sio kama raisi wako MaguPutin bla bla nying Wacha naye ajumuishwe kwenye shit hole na trump
Kiboko ya nini?Angalia hiyo newest advanced system . Acha kukurupuka, Israel ni kiboko kama hujui