Habari zenu wakuu,
Kwa wenye uelewa zaidi juu ya hili tushirikishane namna tunavyo/tulivyo kabiliana nalo.
Kwa mwana chuo yeyote(japo kila sehemu lipo), hatakuwa mgeni na hili tatizo hasa LADIES(wanawake0.Nikisema tamaa nitakosea kwasababu kila mtu anatamaa ila tunatofautiana mipaka,vyuoni dada zetu(wanaojiheshimu) wanapata shida kutokana na ma lecturers(SI WOTE) kupenda kuomba rushwa ya ngono.My sister ni victim na amejikuta anapewa SAP 4 kisa aligoma kutoa hii rushwa yenye majuto sana,saizi ndio anasoma Bachelor accounting lakini ilibidi awe na degree yake kitambo! rafiki zaku wana kazi na familia tayari.Nini kifanyike ndugu zangu? humu jf wapo wanao lielewa vizuri hili sasa tushirikishane mawazo maana ukiacha swala la tabia binafsi ya mtu....dada zetu wanaojiheshimu wanapata tabu sana toka kwa HII mi jitu isiyo ridhika(hata wanawake walio olewa wanaombwa hii kitu! Hadi wamama jamani!!!). Leo dada yangu kesho huwezi jua nani next......Tusemezane wakuu!
Ni hilo limenigusa kwa leo.-UKIZINGATIA HILI LINA ATHIRI MAHUSIANO YA WATU)