Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,268
Serikali ya Kenya chini ya Uhuru Kenya imeendelea kutikiswa na ufisadi wa kutisha baada ya kubainika Jaji wa Mahakama Kuu Philip Tunoi Amejichotea dola milioni mbili sawa na shilingi bilioni mbili zaKenya kutka kwa Gavana Evans Kidero wa Nairobi mnamo mwaka 2014 ili ashinde kesi ya uchaguzi
kadhia ya rushwa si tu inaiweka rehani serikali ya nchi hiyo chini ya Utawala wa Uhuru Kenyatta bali pia imehafifsha uadilifu wa mahakama za nchi hiyo
Source
The East Africa at page 10-11
kadhia ya rushwa si tu inaiweka rehani serikali ya nchi hiyo chini ya Utawala wa Uhuru Kenyatta bali pia imehafifsha uadilifu wa mahakama za nchi hiyo
Source
The East Africa at page 10-11