Rais anapokuwa mtoa rushwa, ataweza kuipiga vita rushwa? Watu waovu kupindukia, mara nyingi hupenda kujificha nyuma ya alama za nje za uchamungu.Kumpandisha mtu cheo wakati yupo katikati ya key project ni rushwa. Tunaona shauri hili lipo arranged na Mh. Mbowe watamfunga miaka watakayo wao wenyewe.
Kwa sasa cha kufanya ni kujikusanya na kuendelea kudai katiba mpya kwa nguvu zaidi, this is the only thing we can do right now.. hawa CCM si watu wazuri.
Huyu ni kumshtakia kwa Mungu tu.Ni kosa, lakini kisheria Rais hashtakiwi akiwa madarakani au akimaliza muda wake kwa mambo aliyofanya kwenye itawala wake, tumefungwa pingu mikono na miguu.
Niliwaambia ni geresha Ila watu hawaelewi sabaya kahukumiwa Miaka 30 na walewale Leo mnnapiga makofi hamjui ni mtego wanakuja kumfunga mbowe walewale tuone kama hamjapiga makofi
Kipindi cha nyuma kumbukeni hata kibiti ilisifika Kwa lipi kubomolewa na kuchukuliwa Kwa siraha kwenye vituo vya polisi msidhani ilikuwa inshu ndogo
Yanayokuja yashaandaliwa
Hivi tunaposema Katiba iliyopo haifai huwa hamtuelewi? Tunaishi kwa huruma na kudra za Mungu tu. Mkuu wa Mhimili ulioleta kesi katikati ya kesi anampangisha cheo hakimu. Unategemea huyo hakimu atoe hukumu inayoegemea kwenye haki kweli? Jamani, mambo mengine muwe mnaelewa hata kama mmeishia darasa la PiliKatika shauri dhidi ya Mbowe, mlalamikaji ni Serikali, na Serikali kiongozi wake mkuu ni Rais. Hivyo mlalamikaji katika kesi hii, ni Rais.
Wakati kesi inasubiriwa kutolewa hukumu, mlalamikaji anatoa cheo kwa hakimu anayeendesha kesi ambayo yeye ni mlalamikaji.
Katika mfumo wa utoaji haki, hii siyo rushwa ya wazi?
Hukumu aliyoitoa huyu jaji ambaye amepewa cheo na mlalamikaji, itaaminiwa vipi kuwa haijaathiriwa na rushwa ya kupandishwa cheo?
Wataalam wa masuala ya sheria na masula ya rushwa, mnalionaje hili? Tupeni elimu.
Sitetei uhalifu wa Sabaya ila nalaani uharibifu wa mfumo wa utoaji haki.Naona mnalazimisha kuchanganya maamuzi ya kesi ya Mbowe na Sabaya, mkiamini kabisa hatujui tofauti yake. Kesi ya Sabaya ni mashitaka ya dhahiri tena na mashahidi wa unyama ule wasiotiliwa shaka. Kesi ya Mbowe na ya kubambikizia mmoja wapo wa waliotengeneza hiyo kesi ni Sabaya ambaye leo hii ni mfungwa kwa ushahidi usioacha shaka. Ndio maana unaona kila jaji sasa anaikimbia kesi hiyo ya Mbowe maana serikali inalazimisha hukumu isiyoendana na ushahidi.
Hapa ni Mungu tu ndio atakayeingilia katiKatika shauri dhidi ya Mbowe, mlalamikaji ni Serikali, na Serikali kiongozi wake mkuu ni Rais. Hivyo mlalamikaji katika kesi hii, ni Rais.
Wakati kesi inasubiriwa kutolewa hukumu, mlalamikaji anatoa cheo kwa hakimu anayeendesha kesi ambayo yeye ni mlalamikaji.
Katika mfumo wa utoaji haki, hii siyo rushwa ya wazi?
Hukumu aliyoitoa huyu jaji ambaye amepewa cheo na mlalamikaji, itaaminiwa vipi kuwa haijaathiriwa na rushwa ya kupandishwa cheo?
Wataalam wa masuala ya sheria na masula ya rushwa, mnalionaje hili? Tupeni elimu.
Na watu wa uzao wao wootena walaanie wote wanaopindisha haki...
AmenNa watu wa uzao wao woote