chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
Wadau,
Kwa kweli huwa siku zote nimejiandaa kisaikolojia kununua haki zangu kwani kwa mwendo wa Bongo hii unaweza ukafa huku unajiona.
Nikienda hospitali zetu hizi za serikali ili nipate huduma haraka inavyostahili lazima nikate kitu kidogo, nikienda TRA ili mambo yaende super lazima nikate, TANESCO ili waje mapema kuniwekea umeme home lazima nikate, yaani kila kona napokwenda huwa najiandaa na kafungu kidogo ka kukata ili mambo yaende maana nchi hii bila kumshika mtu mkono mambo hayaendi.
Pia na wale wote wanaoingia 18 zangu maeneo ya kazini kwangu,aisee, mwendo ni ule ule manake hata usipopiga wewe wakubwa zako watapiga tu na maisha yataendelea, ni bora nipige tu.
Siyo siri, Rushwa ni sehemu ya maisha yangu. Inanisaidia sana kuendesha maisha haya.
Ebo!
Chakufia nini..