T tripof JF-Expert Member Joined Apr 2, 2024 Posts 853 Reaction score 1,147 May 2, 2024 #1 Nimemsikiliza Lissu akikemea Rushwa ya uchaguzi wa ndani Chadema akiwa Iringa na kisha akatoa tahadhari ya pesa iliyopenyezwa kutoka nje ya mfumo, je hili limekaaje,hebu tutafakari pamoja alikusudia nini?
Nimemsikiliza Lissu akikemea Rushwa ya uchaguzi wa ndani Chadema akiwa Iringa na kisha akatoa tahadhari ya pesa iliyopenyezwa kutoka nje ya mfumo, je hili limekaaje,hebu tutafakari pamoja alikusudia nini?
Kashaulo JF-Expert Member Joined Jun 14, 2019 Posts 2,940 Reaction score 4,960 May 2, 2024 #2 Tunajua pesa zilikotoka.
D dndagula JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 1,634 Reaction score 1,675 May 3, 2024 #3 wapi zinapotoka pesa za kuchafua CDM mwaka huu mtaangukia pua. uchaguzi wa ndani hautawaacha salama.