Rushwa na biashara vinarudi Tanzania

Rushwa na biashara vinarudi Tanzania

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,284
Reaction score
13,944
Nimetoka Tanzania juzi na mara ya mwisho kwenda Tanzania ilikuwa 2019.

Kwa maono yangu

1. Biashara zinaanza kurudi kwa kasi na watalii wameongezeka sana
2. Rushwa inarudi kwa kasi sana hasa NIDA na Police traffic.

Mfano NIDA kuna watu wanasubiri miaka miwili card bila kuwaambiwa sababu wakati kuna watu wakito pesa wanapata card zao mapema sana. Sasa tatizo la ucheleweshaji wa card ni nini hasa

Kwenye traffic hasa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha rushwa imezidi mfano barabara ya bypass ya Arusha imefika kiwango hata watu hawataki kutumia hiyo njia kwasababu ya usumbufu wa polisi

Raisi shughulikia rushwa na muwe wakali maana tunarudi wakati wa kikwete
 
Back
Top Bottom